Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .
Mungu ibariki CHADEMA.