Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Wakuu.
Nimeongea na John Heche hivi punde akiwa serengeti ambako nako kuna uchaguzi wa kata ya Manchira na amenieleza yafuatayo.
1. Mkuu wa wilaya wa Bunda ambaye anakaimu wilaya ya Serengeti anaingia nyumba hadi nyumba yenye wanachama na mashabiki wa chadema na kuwakamata.
2. Mkuu huyo ameambatana na vijana mabaunsa wa green guard na wameleta fujo mbele ya maaskari bila hatua yoyote kuchukuliwa.
3. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Tarime naye anapita nyumba kwa nyumba wakigawa rushwa, na inasemekana kuna kadi nyingi feki zinasambazwa.
4. "Kuna juhudi za wazi wazi kabisa za vyombo vya usalama kutuhujumu hapa, huyo mkuu wa wilaya nimemkuta anatoa rushwa tumempeleka Polisi akaachiwa on the spot".
Tutaendelea kujuzana yanayori.