Wanachama wa CHADEMA wanakamatwa Serengeti!

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Wakuu.

Nimeongea na John Heche hivi punde akiwa serengeti ambako nako kuna uchaguzi wa kata ya Manchira na amenieleza yafuatayo.

1. Mkuu wa wilaya wa Bunda ambaye anakaimu wilaya ya Serengeti anaingia nyumba hadi nyumba yenye wanachama na mashabiki wa chadema na kuwakamata.

2. Mkuu huyo ameambatana na vijana mabaunsa wa green guard na wameleta fujo mbele ya maaskari bila hatua yoyote kuchukuliwa.

3. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Tarime naye anapita nyumba kwa nyumba wakigawa rushwa, na inasemekana kuna kadi nyingi feki zinasambazwa.

4. "Kuna juhudi za wazi wazi kabisa za vyombo vya usalama kutuhujumu hapa, huyo mkuu wa wilaya nimemkuta anatoa rushwa tumempeleka Polisi akaachiwa on the spot".

Tutaendelea kujuzana yanayori.
 
Huu upuuzi ushaanza yaani wewe mtoi umekuwa kama toi kweli kazi kuleta habari za kimbeya mbeya tu
 
Hivi hawa CCM kwa nini walikubali mfumo wa vyama vingi vya siasa. Ni bora wangebakia wao peke yao tu waendelee na utawala wao wa wizi na kifisadi. Ila 2015 wajue fika kuwa patachimbika...
 
Wakuu.

Nimeongea na John Heche hivi punde akiwa serengeti ambako nako kuna uchaguzi wa kata ya Manchira na amenieleza yafuatayo.

1. Mkuu wa wilaya wa Bunda ambaye anakaimu wilaya ya Serengeti anaingia nyumba hadi nyumba yenye wanachama na mashabiki wa chadema na kuwakamata.

2. Mkuu huyo ameambatana na vijana mabaunsa wa green guard na wameleta fujo mbele ya maaskari bila hatua yoyote kuchukuliwa.

3. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Tarime naye anapita nyumba kwa nyumba wakigawa rushwa, na inasemekana kuna kadi nyingi feki zinasambazwa.

4. "Kuna juhudi za wazi wazi kabisa za vyombo vya usalama kutuhujumu hapa, huyo mkuu wa wilaya nimemkuta anatoa rushwa tumempeleka Polisi akaachiwa on the spot".

Tutaendelea kujuzana yanayori.

Tumechoka na upuuzi WA chadema kutafuta huruma kwa uzushi na uongo,kichekesho chadema wanatafuta sababu ya kujitetea,Poleni wana Arusha kwa aliyetekeleza Uibilisi huu kwa watoto WA Mungu
 
huu upuuzi ushaanza yaani wewe mtoi umekuwa kama toi kweli kazi kuleta habari za kimbeya mbeya tu
kwani wewe ccm haujui mambo yao? Ila waelewe kuwa siku za mwizi ni arobaini. Utaiba utafanya ufisadi lakini siku mola akichoka utaona matokeo yake.
 
ccm inapumulia mashine.
Inapofika wakati kama huu watafanya kila hila ili waendelee kubaki madarakani.
Kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa madiwani, wakati wa uchaguzi mkuu 2015 hali itgakuwaje?
Inatupasa wanamapinduzi wote kujiweka sawa na kuanza mikakati ya siku zijazo.
Tumesimama upande wa haki, na siku zote penye hila haki itasimama!

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Tumechoka na upuuzi WA chadema kutafuta huruma kwa uzushi na uongo,kichekesho chadema wanatafuta sababu ya kujitetea,Poleni wana Arusha kwa aliyetekeleza Uibilisi huu kwa watoto WA Mungu

cdm ndo wako mstari wa mbele toa rushwa alafu ndo wakwanza kuwahi kwa waandishi wa habari. Binafsi wanachofanya cdm sawa na kujiteka kwa shekhe faridi. Yn tayari mumeshindwa mapema kabla ya uchaguzi mnatafuta sbb na huruma
 
CCM ni chama cha mataahira watupu. Na lazima hila zao zifikie mwisho.
Watanzania wote wapenda haki na maendeleo tuko pamoja na CHADEMA kwa hali na mali.

People'ssssss Poweeeeer!!!!
 
Wakuu.

Nimeongea na John Heche hivi punde akiwa serengeti ambako nako kuna uchaguzi wa kata ya Manchira na amenieleza yafuatayo.

1. Mkuu wa wilaya wa Bunda ambaye anakaimu wilaya ya Serengeti anaingia nyumba hadi nyumba yenye wanachama na mashabiki wa chadema na kuwakamata.

2. Mkuu huyo ameambatana na vijana mabaunsa wa green guard na wameleta fujo mbele ya maaskari bila hatua yoyote kuchukuliwa.

3. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Tarime naye anapita nyumba kwa nyumba wakigawa rushwa, na inasemekana kuna kadi nyingi feki zinasambazwa.

4. "Kuna juhudi za wazi wazi kabisa za vyombo vya usalama kutuhujumu hapa, huyo mkuu wa wilaya nimemkuta anatoa rushwa tumempeleka Polisi akaachiwa on the spot".

Tutaendelea kujuzana yanayori.

Km usitishike na hawa watu wasiojua kweli wal akuwa huru ktk kweli.Mwisho w asiku wengi watakuja na kukutolea reference matusi waliyokuwa wakikutukana ...na siku hizo watakuwa wanachama wa mbele ktk cdm.

CCM inakufa vibaya sana...wengi wao watakimbizwa km vicheche na raia ktk siku za mwisho kwa jinsi watakavyokuwa wamejianika vibaya ktk mateso ya raia.
 
Back
Top Bottom