Uchaguzi 2020 Wanachama na wapenzi wa CUF Kigoma Kaskazini wamemsindikiza Kiza Mayeye kuchukua fomu ya uteuzi jimbo la Kigoma Kaskazini

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200819-131323.png
Screenshot_20200819-131343.png
Screenshot_20200819-131501.png

Makamo mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake CUF taifa mhe. Kiza mayeye ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la kigoma kaskazini, mapema leo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la kigoma kaskazin na kupewa fomu ya uteuzi.

Pia mhe. Kiza amesema kuwa Jimbo la kigoma kaskazin bado linachangamoto kubwa ya maji Safi na salama na miundombinu sio mizuri mpaka hivi Leo hivyo amesema kuwa akichaguliwa kuwa mbunge atahakikisha changamoto hizo anazitatua kwa kipindi Cha mda mfupi Sana

Pia alipata fursa ya kufunga matawi baada ya kuchukua fomu alifanya ziara ya kufungua matawi na kutenbelea matawi mbali mbali ya chama katika Jimbo hilo
 
CUF Wakafie mbele ,Mwakahuu hawatopata hata jimbo moja ,mapoyoyo wa Lipumba.
Watakuwa kama Mrema, waunge mkono Juhudi tuu za Mkuu, Jiwe
 
Back
Top Bottom