Wanachama cha CHADEMA nisaiedieni ni ni jinsi gani ya kuhamia chama chenu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani mimi ni mwanachama damudamu wa ccm ila nina miaka kumi na moja ndani ya chama hichi na ni mmoja kati ya muasisisi niliyekuwa nikiwashawishi watu waipende ccm mtaani na kwenye majukwaaaa cha kushangaza mpaka leo sina hata cheo hata sijawahi hata kupewa uenyekiti wa vijana ......jamani hivi chadema .......nina matumaini hakuna ubaguzi
 
Nenda pale uswahilini Kinondoni Manyanya mtaa wa ufipa ndio makao makuu ya Chadema..

JF sio mali ya Chadema mkuu!
 
Nenda pale uswahilini Kinondoni Manyanya mtaa wa ufipa ndio makao makuu ya Chadema..

JF sio mali ya Chadema mkuu!
Hapo kwenye RED umeamuwa kutofautiana na katibu mkuu wako Wilson Mukama? maana ni yeye ndio alisema JF ni ya CHADEMA. kwahiyo unatuthibitishia kwamba Mukama ni muongo?
 
Back
Top Bottom