Wanachadema;zitto kabwe ni hatari!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wana chadema najua mnampenda huyu bana kama alivyoweza kuniongoza mgomo wa chuo enzi hizo na huku nikishangalia lakini nimeona niseme leo kwamba kijana anapoelekea ni pabaya na akika sitokuwa na fadhila kusema huyu bana hivi sasa kwenye chama ni hatari kuliko ugonjwa wa ukimwi

Najua kila mtu anavyojilinda na kaughonjwa haka ingawa kamefichwa sehemu maarrrumu lakini ukweli unabaki huyu bwana anatumiwa na mafisadi na siku nyingi viongozi wa chadema wanalijua hili na sijui kitu kinachowafanya waendelee kumsitiri..tukio la kuwafyonza wah linaonyesha ni jinsi gani alivyo na dharau na kiburi na pengin e leo hii mamake angekuwa bungeni kijana angekuwa anatunyea huyu kama si kutukojolea njiani....

Zitto rafiki yangu kipenzi imefika kusema niliingia chadema sababu yako kwa jinsi ulivyoanza resi bungeni hakika nilianza kuogopa si chama bali wewe pale ulipowageuka wenzio wa madini na kusema pesa mwanaharamu...najua una hamu ya kuwa kama lowassa kama ROSTAM LAKINI ULIZA VIZURI UFISADI AWAKUANZA leo hao..rostam pamoja na ufisadi amebebea na kunuka sana shombo za samaki uliza wakwambie..so kijana na jua unatamani kuendesha magari ya kifahari na maisha ya hali ya juu lakini usitumie ukubwa wako chamani kuwauza na kuwqadharaulisha watanzania kadhaa kule kigoma waliokuchagua..awakukuchagua kwa kuwa ni HANDSOME no wamekuchagua wakitarajia kuona mageuzi ya kweli bungeni na si mageuzi ya kuongana na kudharaulishana

ZITOO kaka yangu kipenzi nasikiitika na ntasikitika kama utatolewa kwenye chama lakini unajua kuna wakati ukisoma kwenye bibilia utaona baba yetu ibrahim alipotoka na kuachanana na babake ndipo baraka zilipoanzia..so sitoshangaa kuona ili CHADY isonge mbele waitaji kukutosa na kuangalia masilahi ya wananchi kwanza.......

Nakutakia kila la kheri katika chama kipya utakachoingia
 
wacha aende kaka......katutia kinyaa sana...... we fikilia hana miezi miwili baada ya uchaguzi bado tayari vurugu... sasa hiyo mitano itafika na kutukuta tukiwa sawa....?!!

na huyu zito ndo chanzo.... aende tu.....
 
Back
Top Bottom