WanaCHADEMA wote nawaomba hapa tafadhari

okiwira

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,787
2,853
Ha ha ha ha wanachadema naomba tena naomba mnitukane kadri ya uwezo wenu.

Ila ili niwapende sio ombi amri mfunzeni LISSU juu ya kuutumia ulimi wake vizuri ili anipate asinitukane kwa kuwa naipenda CCM.

Anipe somo mbona kifua changu chepesi.
 
Back
Top Bottom