YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kwa utafiti wangu kwa kutumia kipimo cha Hapiness Index nimegundua kuwa pamoja na Tanzania kuwa na vyama vingi Wana-CHADEMA ndio wanaongoza kwa kutokuwa na furaha kabisa kuliko wanachama wa vyama vingine vyote..
Katika kila wana CHADEMA 10 nilioongea nao hata mazungumzo ya kawaida tisa walionyesha kutokuwa na furaha kabisa na hata huyo mmoja ambaye walau alionyesha ana furaha kidogo unaona wazi kuwa furaha yake ya kufoji.
Wasi wasi wangu ni kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wana CHADEMA wengi kuugua magonjwa ya moyo na kupata Stroke kutokana na misongo ya mawazo waliyonayo.
Ukweli CHADEMA wanahitaji PERMANENT DOCTOR wa misongo ya mawazo na presha.