WANACHADEMA: Mmewahi kumsikia Dr Slaa akimsema vibaya Mh Lowassa??

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
830
91
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....
 
Baba wa Taifa unamjua wewe na Ccm, Fuatilia kampeni za Arumeru Mashariki utaujua ukweli.
 
CDM inadili na system nzima ya CCM ambayo inatoa uvundo na si watu alafu unaweza kutwambia kweli CDM haikuwahi kuitaja ama kupiga kelele juu ya Richmond? sasa kama iliwahi tokea utaisemaje hiyo kampuni na kumwacha EL pembeni wakati huo yeye alikuwa ni Pm?

Siyo lazima watajwe wote na hata Kinana wakati ule hakutajwa lakini kutokutajwa kwake haimaanishi kwamba yeye si fisadi

Kimsingi CCM yote kama sisitemu imeoza
 
Mkuu kuna uhusiano mkubwa sana kati ya Dr Slaa na Mh Lowassa. Kuna wachache wanajua, na ni mpango wa pamoja kati yao, either Dr Slaa or Mh Lowassa awe Rais wa nchi hii.
 
Alimtaja kwenye list 11 ya mafisadi.vivile amekuwa akimtaka ataje mhusika wa richmond baada ya EL kujitetea kuwa hausiki,au una lingne mkuu!
 
Huo ni mpango kabambe wa watu wa Kaskazini kuongoza nchi hii. Either atoke ccm au chadema hakuna ubaya.
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....
Haha..hukumsikia ktk list of shame?
Haha..wala usiongee hilo tunamsubiri uchaguzi 2015.....sasa hivi anaachwa ili awachanganye maccm kwanza.
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....
kwani wakati rowasa anajiuzuru uwaziri mkuu dr slaa si alikua kwenye kamati iliyo mwangusha rowasa
 
1452144_551097974982746_7370614_n.jpg

uwajua hawa mkuu?
Unajua nani anamtumia Zitto na Albert Nsando wa Arusha kupata taarifa za cdm??
 
Si Dr Slaa tu ni uongozi wote wa cdm na wengine tunashindwa kuwa elewa kwa nini wanafanya hivyo?

Haya ndio masuala tunayo wategemea wapenda mabadiliko hapa nchini wayaibue. Si kutumia hila kudidimiza siasa za ushindani Tz.
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....

vp kuhusu Mbowe?
 
Back
Top Bottom