Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa.
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa.
Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa.
Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.