WanaCDM wamepwaya kuchangia ktk jukwaa la siasa

Mnaleta thread za udini ili watu wapigwe burn alaf mnategemea watu wachangie!
 
tunafikiria kuhusu pesa zetu za NSSF kuna washenzi na wapuuzi wanataka kuiba
 
Hawana jipya tena. Kashfa zao , kebehi zao zimeishia hapo. Baada ya kuona Serikali haitetereki na propaganda zao wamebaki sasa kuumana wenyewe kwa wenyewe.

Mkuu you have hit the point home.
Jaribu kutazama post zote za wana CDM,

-Wengi posti ni matusi badala ya kujibu hoja
-Karibu wachangiaji wote pro CDM ni inexperieced Pundits katika masuala mengi sana
-Wachangiaji wengi pro CDM ni uninformed on current issues, na wanaishia ku- conclude on hearsay
-Ku- prove observatin yangu hebu sample majibu yaliyopo hapo juu, na utashangaa mwenyewe

Ukweli utabaki kuwa CDM haina muongozo wowote isipokuwa kulalama, kulalamikia CCM, na kujionea huruma.
Ukweli unaanza kuonekana kuwa sasa proCDM wameishiwa lawama na hawana ziada, its best to keep mum.
 
Hili ni jukwaa la watu wote na wala si sehemu ya ccm na cdm kushindana.uhai na usstawi wa vyama hivi utapatikana tuu kwa vyama husika kujipanga kutekeleza ahad walizotoa kwa wananchi
 
images

Nyoooooooo................gamba mkubwa wewe huna aibu!
Ni rahisi kwatambua wana CDM wasio na hoja,ile akiba yao ya fikra ndio kama hapo juu.

Sasa tunamuomba DrSlaa aje atete hizo hoja hao juu.
 
Back
Top Bottom