WanaCCM wengi waomba UPINZANI UCHUKUE NCHI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaCCM wengi waomba UPINZANI UCHUKUE NCHI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jul 9, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ndani ya rasilimali nyingi umaskini umeshamili. JIBU NI UONGOZI MBAYA wala sio UCHAWI.

  Kwa kuangalia jinsi WanaCCM wanavyokimbia CCM na kujiunga na UPINZANI ni wazi kuwa sasa wanachama hawa wamechoka na CCM na wanafikiria kuhusu serikali mbadala.

  Bei ya Pamba, Kahawa, Korosho, Alizeti, Ufuta ziko Chini; Mkulima bado unahamu na CCM
  Mfumko wa bei kwa bidhaa zote, hasa consumables
  Ada za shule kwa maana ya shule ziko juu
  Huduma ya afya hakuna, Dkt wanapigwa na wezi, wahuni au kitu cha kufanana na hicho
  Mishahara duni, kodi kubwa; Mfanyakazi bado unahamu na CCM?
  Mbali zaidi hata utamaduni wetu hakuna tena

  Kwa upande mwingine dhahabu, sangara, pamba, mifugo kibao, kahawa, korosho, tanzanite, almasi, mafuta, makaa ya mawe, gesi, mbuga za wanyama, kilimanjaro mlima etc hakuna hata kitu kimoja kinatusadia. Deni la taifa linakuwa kama kwamba hatufanyi kazi kabisa, EPA na wengine wanatufaidi.

  NI wazi kuwa hata MwanaCCM wa damu mwenye akili timamu anaomba CCM inanguke ili waliowengi wafaidi matunda ya kuzaliwa nchi ya mito na asali.

  Suala hapa kwa WanaCCM ni namna gani bila ya kuonekana hadharani watawawezesha wapinzani kuchukua nchi, kitu cha kibinadamu hapa ni kushindwa kusema sasa baba ufe tumechoka kukuuguza, maana tumekuuguza miaka 50 lakini wapi. TUWASAIDIE WANACCM WATUSAIDIE KUMALIZA MATANGA SALAMA.

  Kila mtu once alikuwa mshabiki wa CCM, je bado hujachoka???
   
 2. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Mungu inaanza kuonekana mtenda maovu siku zote hujificha but kuna muda atajisahau kwa hiyo ccm wanachokifanya ndo wanazidi kujiharibia mbinu zao zote znawekwa wazi na wajumbe wao .
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Chama cha mabwepande kiko icu ya apollo siyo ya mhimbili
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,986
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Mkuu Fikirikwanza,

  Well said........"Asikiaye na Afahamu"
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ongeza hili la kuanzishwa kwa torturing department mabwepande na kamati ya vitisho chini ya ACP Msangi mtoa kucha na meno maarufu na Zoka watu tumechukia na tumechoka sio patachafuka bongo mkiendelea ccm msije mkafikili ninyi na familia zenu mtabaki salama wapi Gadaff,Sadam Hussen na C.Tailor?f .....ck you all ccm leaders and if you want to be down ccm f...........c..k you too.
   
 6. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Ni kweli CCM imechoka inatakiwa ife izikwe kabisa, mfano hai itamwekaje ADEN RAGE awe mbunge wa Tabora mjini? Na maovu yote aliyolifania taifa hili kweli CCM inaweza kumsimamisha agombee ubunge kwa ticketi yake?

  1. Ameiba fanicha za CDA zikitokea Zimbabwe badala apeleke Dodoma anawapa watu wengine
  2. Ameiba hela za Yanga badala ya kuwapa mgao wao wana yanga akazidivert kwingine
  3. Ameiba mipira ya FAT hadi akafungwa , japokuwa alitoka kwa rufaa bado ni mwizi tu ni sawa na mtu aliyefumaniwa akapata mwanya akatoroka.
  4. Aliwatapeli Serengeti boys wakafukuzwa kwenye mashindano kama mbwa
  5. Amewatapeli wanyamwezi wakampa uenyekiti wa wazazi japokuwa familia yake ni ya kufikirika na kusadikika.

  Sasa hii CCM ya nini? IFE. NA IZIKWE ISIONEKANE TENA, mwanzo wa kuiuwa ni 2015.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye nyekundu, ndio hapo kilio cha wafanyakazi wa ofisi za umma hapa Tanzania, halafu JK juzi kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi anasema kua asilimia 48 ya bajeti inatumika katika kulipia mishahara.... sijui kwa mishahara gani wafanyakazi wa Umma wanayolipwa
   
Loading...