WanaCCM wanaompinga Magufuli siwaelewi

Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka kupata manyadhifa makubwa zinaitesa CCM.

Mbunge yeyote aliye na elimu nzuri ndani ya CCM anakosoa kwa akili haropoki wala hapigi kelele anajua kile Magufuli anafanya ni mtaji wa mbele.

Jambo hawa wanaopiga kelele wanafanya ni as if CCM ni ya kwao ama ni ya Magufuli kumbe wote ni waajiriwa wa chama na baada ya kipindi fulani watapumzishwa.

Hoja wanaCCM wanapaswa kuipigia makofi ni hoja ya kukilinda chama na kukitengeneza kiende mbele othewise wanachofanya akina Bashe na kundi lake ni bora wahamie CHADEMA wala wasitusumbue na vidata vyao vya kizushi..

CCM oyee...
Naamini hamna jipya linalofanyika, hamna siri kwenye yanayofanyika, 'party caucas' wapeni semina, wapeni kozi, waielewe nn kinachofanyika, naamini vakielewa watawatetea badala ya kuwapinga , hata huku grassroots watatuletea habari maana ni wawakilishi wetu hao tumewachagua! Wapeni darasa tu waelewe , wafundishen wataelewa tu!
 
Usipende kuchuka avatar za wanaume wewe dada utakuja pata mimba usiotarajia toa mara moja iyo avatar yangu
Mkuu umekalia kitu kigumu kirefu?.wewe ni mchele mchele mbona unababaikia wanaume.hiyo Avatar ninayo miaka mingi na ni picha halari Mimi ni mume wa mwanamke mwenzio sifanyagi hiyo michezo
 
Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka kupata manyadhifa makubwa zinaitesa CCM.

Mbunge yeyote aliye na elimu nzuri ndani ya CCM anakosoa kwa akili haropoki wala hapigi kelele anajua kile Magufuli anafanya ni mtaji wa mbele.

Jambo hawa wanaopiga kelele wanafanya ni as if CCM ni ya kwao ama ni ya Magufuli kumbe wote ni waajiriwa wa chama na baada ya kipindi fulani watapumzishwa.

Hoja wanaCCM wanapaswa kuipigia makofi ni hoja ya kukilinda chama na kukitengeneza kiende mbele othewise wanachofanya akina Bashe na kundi lake ni bora wahamie CHADEMA wala wasitusumbue na vidata vyao vya kizushi..

CCM oyee...
Magufuli ni pedeshee msanii hana analolijiwa kwenye uongozi hajui sera gani za kiuchumi anafuata yupo yupo tu ni mzigo kwa taifa wana ccm wenzake wamemuona hawawezi acha nchi inaangamia kwa mshamba kama huyo raisi
 
Back
Top Bottom