mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,211
- 3,317
NYINYI NI WATU GANI?????!!!
FATILIA HII KWA UMAKINI
Kuna kikundi kwenye mitandao ya kijamii na nje ya mitandao ndicho kilikuwa kinatetea kwa nguvu zote utawala wa JK, hata sisi wapinzani tulipowapa ushahidi wa wazi wa mapungufu ya utawala huo hawakuona wala hawakusikia, zaidi zaidi walitutusi.
Leo kikundi kilekile kinamshangilia Magufuli kwa nguvu zote, lakini huwezi amini, Magu huyo wanayemshangilia ndie anashughulika na uovu tuliouhubili miaka zaidi ya kumi sasa huku tukipingwa na kikundi kilekile ambacho leo kinamshangilia Magu.
Kisha wanabinua vifua nakupaza sauti, ccm itatawala daima!!!
Ukiwauliza kwani majipu hayo nani kayaleta? Wanajibu "usiihusishe ccm na hayo bwana, mwache rais wetu atimize kazi zake, kwani nyinyi wapinzani hamuoni mazuri yakumsifia rais?"
Kikundi hikihiki ndicho kitaliangamiza taifa miaka miwili tu ijayo.
Tafasiri ya kisiasa ya kazi ya upinzani ni kukosoa serikali ili iongeze kasi ya kuwatumikia wananchi, sio kusifia. Serikali inayotimiza wajibu haisifiwi bali huongezewa jukumu na wananchi.
Upinzani kazi yake ni kutafuta madhaifu ya serikali na kuyakosoa mbele ya umma, na kisha kuelekeza kuwa "sisi tungefanya moja mbili". Hiyo ndio kazi ya upinzani kifalsafa. Ila ccm wanawachukulia wapinzani kama madui na kusahau kazi nzuri wanayoifanya ya kuwafumbua macho.
wanaCCM wanahitaji msaada mkubwa sana kuweza kujijua wao ni kina nani!!!!!!!
Human (brain) evolution is still underway in Africa our leaders included!
By Yeriko Nyerere