Wana (Zuchu) Vs Dodo (Ali Kiba)

Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana...

Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label

Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine bila ya kujali jina wala label aliyopo msanii husika
Futa huu upuuzi kaka...huwezi fananisha dodo na huo wimbo wa huyo dogo na yeye mwenyewe humohumo namaanisha dodo ni kubwa kuliko HUYO MSANII+WIMBO WAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha dharau hapo kama Alikiba aliamua kuja kwenye muziki anatakiwa awe tayari kulinganishwa na kupambnishwa na yeyote yule ambaye ana shiriki muziki! Kama hataki basi aachane na muziki!


Ukweli ni kwamba wimbo wa Alikiba a.k.a Mfalme Helode ni mbaya na ni mmoja wa wimbo mbovu sana toka kwa Alikiba hakika Alikiba anavunja moyo.....

Kama ukilinganisha Dodo na Wana kama utaangalia nyimbo tuu lazima ujue Wana ni wimbo mzuri kuzidi Dodo


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mashoga kuisha nchini ni ndoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom