Wana Yanga SC Wenzangu tunaotaka Kusafiri na Timu kwenda Zambia wiki ijayo tusiende kwani huko njiani Mabasi yanatekwa mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,417
108,519
Nina Marafiki zangu Madereva wa Malori wanasema hiyo njia ya Kwenda nchini Zambia ambayo Sisi wana Yanga SC hasa Mashabiki tutapita kwenda Kuishangilia Timu yetu ina Maharamia wengi halafu huwa wakiwatekeni ' Wanabaka ' pia hivyo tusiende kabisa na tusithubutu.

Kwa Usalama wetu kama kweli Uongozi wetu unataka sote twende huko Kuishangilia Timu yetu basi uingie gharama na utukodie Ndege hata Tano hizi hizi za Bombardier na Dreamliner zitupeleke kwa Uwingi na kwa gharama zao kwani Yanga SC yetu ya sasa haina Shida ya Pesa ila mwana Yanga SC yoyote usithubutu Kusafiri kwa Mabasi kwani mtatekwa na Kubakwa.

Na kama Viongozi wetu wa Yanga SC wakiona hawana Pesa za Kutosha za Kutusafirisha wasione aibu kumuomba Tajiri wa Simba SC ( Timu ambayo siipendi kabisa ) Mohammed Mo Dewji tena kwa Kumpigia Magoti kabisa na ikibidi Viongozi wetu akina Msolla na Mwakalebela ' wamlambe ' Miguu yake hadi Unyayo ili wamwombe Msaada wa Hela au atukodie Ndege ili nasi twende huko Zambia wiki ijayo Kuishangilia Yanga SC yetu.

Naomba mwana Yanga SC yoyote akipata hii Mada ( huu Uzi ) ajitahidi Kuwasambazia na wana Yanga SC Wenzetu wengine ili waache kabisa kulipia Tiketi zao za Usafiri kwenda huko na kama wapo ambao watakuwa ' Wabishi ' na watataka Kusafiri basi wajue kuwa ikitokea ' Wakatekwa ' huko njiani basi Mafuta ' Laini ' yatahusika Kwao kitu ambacho Kitakuwa ni ' Uzalilshaji ' Kwetu na tutachekwa mno na Watani zetu wana Simba SC.

Tubakini tu Majumbani mwetu na tutaitizama hiyo Mechi yetu ya Marudiano kupitia Runinga ( Television ) na inatosha tu.
 
Mkiomba ulinzi either jeshi la polisi tz au hata zambia mtapewa bila tatizo lolote.

Unforgetable

Ndugu mbona hutuonei Huruma Sisi Mashabiki wa Yanga SC na unatutaka twende Zambia wakati unajua kuwa tutatekwa na pengine hata kufanywa nao vibaya kama ambavyo nasikia wamefanya kwa Mabasi yaliyosafiri Wiki hii huko. Wana Yanga SC Wenzangu tusithubutu Kusafiri kwenda huko Zambia yatatupata makubwa na tuwaache tu Wachezaji waende na Sisi tutawashangilia Runingani pekee.
 
Unatuchukia alafu unataka tukupe msaada😂😂😂nendeni hivyo hivyo tu huo ndio uzalendo Sasa.

Msije kusema Mimi mwana Yanga SC Mwenzenu sikuwaambieni mapema juu ya hii hatari ya Kutekwa na Kuja Kusodomika.
 
Hahahaha, huu mkwara kiboko

Wacha waende kisha Wakishatekwa huko njiani na ' Kunaniliwa ' ndipo watayakumbuka haya maneno yangu hapa. Kama Wewe ni mwana Yanga SC Mwenzangu nakushauri usilipe Pesa ya Nauli kwenda Zambia na Mabasi Kuishangilia Timu yetu kwani hali ya Usalama huko njiani ( hasa upande ) wa Zambia si nzuri.
 
Sina muda nishafika zangu Ndola na Taqwa

Wewe umefika huko kwa Kupanda Bung'o / Ndege sasa ' Waponze ' wana Yanga SC wasafiri na Uso wa Kima ( Basi ) kisha wakatekwe na Mafuta ya ' Vilainishi ' yatumike Kwao kutoka kwa Watekaji walioko huko Maporini nchini Zambia. Kama umesafiri kweli na Basi ( Uso wa Kima ) tuwekee hapa Ushahidi wa Tiketi yako hiyo tukuamini na usije ukawa unatujambisha / unatupa jeuri kisha tukakione cha Moto huko Zambia.
 
Wacha waende kisha Wakishatekwa huko njiani na ' Kunaniliwa ' ndipo watayakumbuka haya maneno yangu hapa. Kama Wewe ni mwana Yanga SC Mwenzangu nakushauri usilipe Pesa ya Nauli kwenda Zambia na Mabasi Kuishangilia Timu yetu kwani hali ya Usalama huko njiani ( hasa upande ) wa Zambia si nzuri.
Hahahaha, mie watanikuta Kitwe , natokea kolwezi

Ila wewe jamaa bana,huu mkawara kiboko , uzuri Zambia gari usiku hazitembei
 
Hahahaha, umewakimbia mabaharia wa Zambia , wangewapiga stop pale katikati ya Isoka na Nakonde

Na wasingewapiga tu hiyo ' Stop ' bali hata Mafuta ya ' Vilainishi ' yangetumika sana Kwao na hivi wameanza Kuvalia ' Vipensi ' vyao wangewarahisishia mno Kazi Wazambia ' Kupenyeza ' Migobole yao ya Mafichoni.
 
Back
Top Bottom