Wana Yanga SC Wenzangu napendekeza Uongozi wetu uachane na akina Aucho, Bangala na Kipa Diara kwani hawatufai na hawana jipya

Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Chupli chupli
 
Huna akili

Back
Top Bottom