Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.

Wiki ya Jana Yanga SC tulikuwa tunamleta Bonge la Beki ambaye ni zaidi ya Bakari Nondo Mwamnyeto aitwae Ibrahim Ami aje 'Kusinya / Kusaini' Kwetu Yanga SC cha 'Kushangaza' Klabu tusiyoipenda ila inayopendwa mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club ikamsajili na sasa ni Mali yao kabisa.

Mwanzoni mwa Wiki hii wana Yanga SC tulikuwa tunajua kabisa kuwa Kiungo 'Mahiri' kutoka Ghana ambaye pia ni Wakili Msomi na wa Kujitegemea Bernard Morrison ni Mali ya Yanga SC kumbe ameshakuwa ni Mali ya Simba Sports Club kitu ambacho ni 'Hatari' sana Kwetu kwani mpaka hivi sasa ndani ya Yanga SC sijaona Beki ya 'Kumkaba' huyu Morrison ukiachia akina Chama na Miquissone.

Kubwa kuliko na hii ndiyo 'imeniuma' sana hadi sasa nataka wanayanga Wenzangu wowote popote pale mlipo 'tujitokeze' na 'tuwatimue' hawa 'Wanafiki' akina GSM pamoja na Mwenyekiti Wetu Mshindo Msola kwani wameshaonyesha kuwa ni 'Waongo' na 'Matapeli' tu pia hasa linapokuja Suala zima la Usajii.

Ni muda mfupi tu umepita Yanga SC tulikuwa tunategemea 'Kumpokea' Kiungo Mshambuliaji 'Hatari' kabisa ambaye uwezo wake Uwanjani ni 'maradufu' ya Clatous Chama aitwae Larry Bwalya. Cha 'Kushangaza' GSM na Mwenyekiti Msola pamoja na Magazeti ya Michezo 'yalituaminisha' Wiki nzima kuwa ni Mali ya Yanga SC na hatimaye 'ameshasinya / ameshasaini' Simba Sports Club.

Kwa hasira nilizonazo GENTAMYCINE nawapa GSM na Mwenyekiti Msola Saa 72 tu zijazo watuachie Yanga SC yetu na itakuwa chini yetu Mashabiki.
Ni lini GSM au kiongozi wa Yanga alisema kuwa angewasajili hao wachezaji? Mbinu iliyotumika kumng'oa Senzo Simba ndio mbinu hiyohiyo inatumika kwenye usajili
 
Je, mwanayanga Mwenzangu au tuhamie zetu tu Simba SC ambako naona 'Kumenoga' sana na hawa GSM na Msola wasitusumbue Akili zetu hizi?
Ila yanga hawaaminiki wanaweza kutushikisha adabu hawa, kumbukumbu zinaonesha yanga haitishiki na usajili wa simba.
 
Mikia imechanganya madesa!! Paper la Physics, Mikia imekesha ikimeza notisi za Civics!! In short, Yanga wanamfuatilia Walter Bwalya na sio Larry Bwalya!!!
Huyo anatagazwa Leo ,yuko sokon kwa pesa ya kitanzania 500M ambaoyo utopolo hamuwez,badae sakumi na moja msianze kulia lia
 
Leo nina Wewe 'Mpumbavu' Wewe wamenishindwa 'Magwiji' hapa utakuwa Wewe? Hakuna neno CARIFONIA bali kuna neno sahihi CALIFORNIA tu.
kama unataka ligi na mimi sio level yako, halafu unadhani mtu kama mimi unaweza kuntisha na hayo maneno yako ya kwenye kanga, hiyo mipasho pelekea mashosti wenzako ndiyo size yako.

Next time nitakuoa bila mahali wewe
 
CARIFONIA ndiyo neno ( jina ) la wapi hili? Yaani kabla ya Kutunga hii ID yako ulishindwa kuhakiki kuwa ni CALIFORNIA na si CARIFONIA? Swine.
mbona unataka kunilazimisha unavyotaka wewe nishakwambia that is my username nasiwezi badilisha Kama unaona nimekosea ruksa kuandamana au fungua account yako na utumie 🆔 ya California unayodhani ni sahihi.

Mtoto wa kiume unakua na shobo na majina ya watu, hizo ni dalili ya kua unatafuta bwana ***** subiri soon tutakuletea mahali
 
Eng. Hersi AOMBA POO kwa Mo Dewji.
5F4D5CD6-F86E-4EAD-93D0-F910C9F597B3.jpeg
 
Yani Minyani kwa Kujifariji hayazidiwi
Ngoja nikudharau manake ni mpuuzi tu ndie anaweza kutumia kauli za kibaguzi zinazotumika na wabaguzi! Na kwa kukosa kujitambua kwako ndo maana wala hufahamu kwamba kwa Mzungu Mbaguzi; wewe na familia yako yote ni manyani tu! Shame on You!
 
Mnyama hashindwi kitu,
The problem tule tubilioni 20 twa Dewji ndo mnadhani Simba ni matajiri kweli kweli! Guys, "utajiri" wa Simba ni wa Kibongobongo tu, na kwahiyo bado hajawa na ubavu wa kutoa 500M kununua mchezaji! Kwa Afrika, 500M inalipwa kwa Top Players lakini Simba hadi kesho hana ubavu wa kununua top players in Afrika, na ndio maana hadi kesho mnaishia kuzunguka huku huku SADC, na mkienda north or west, mtaishia kuchukua wachezaji ambao hawana ubavu wa kucheza timu kubwa sio tu za north or west bali hata zile za South Africa!!! Yote kwa yote bado nasisitiza; acheni kukurupuka kwa sababu interest ya Yanga ipo kwa Walter Bwalya na sio Larry Bwalya! Hawa ni wachezaji wawili tofauti.
 
Gsm si wawekezaji bali watafutaji wanayanga wenzangu tujitafakari timu imetekwa kwa mtaji wa njaa zetu
 
Itaje wewe unayeijua!! Narudia: HAMNA UBAVU WA KUNUNUA MCHEZAJI KWA 500M, na isitoshe Miquisson angekuwa na hiyo thamani asingekuwa mtu wa kutoka club moja hadi nyingine kwa mkopo!!
Najua unaumia sana...ila ndio hivyo tena hamna naman!
Endeleeni kukalia msumali, sie tunazidi kuuchonga na kuupasha moto ili muinjoi kuukalia zaidi.
 
Yanga bhwana.. yaani mlitaka kusàjili mchezaji wa chipolopolo ili aje acheze mechi zà ndani tu na akina ihefu, gwambina.... !

Mwakani ihefu wanacheza kimataifa kama Namungo mwaka huu!
Halafu huyu mleta uzi siyo utopolo wewe
 
The problem tule tubilioni 20 twa Dewji ndo mnadhani Simba ni matajiri kweli kweli! Guys, "utajiri" wa Simba ni wa Kibongobongo tu, na kwahiyo bado hajawa na ubavu wa kutoa 500M kununua mchezaji! Kwa Afrika, 500M inalipwa kwa Top Players lakini Simba hadi kesho hana ubavu wa kununua top players in Afrika, na ndio maana hadi kesho mnaishia kuzunguka huku huku SADC, na mkienda north or west, mtaishia kuchukua wachezaji ambao hawana ubavu wa kucheza timu kubwa sio tu za north or west bali hata zile za South Africa!!! Yote kwa yote bado nasisitiza; acheni kukurupuka kwa sababu interest ya Yanga ipo kwa Walter Bwalya na sio Larry Bwalya! Hawa ni wachezaji wawili tofauti.
So utopolo ndo mnauwezo wa kununua mchezaji kwa 500m???subirin msajiliwe wachezaji wa mafungu mafungu mpaka akili iwake sawa, simba # another level Africa masharika na kati hatuna mpinza we endelea kubweka simba ndo inachanja mbuga
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom