Wana Yanga SC, Haji Manara angeshinda tuzo mngeanzisha 'threads' nyingi hivi kuhoji na kumchafua Bongo Zozo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,449
108,556
Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara.

Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa Tanzania ndiyo muanze Kuhoji Uraia wake mara anafanya nini, mara mseme ni Jasusi na sasa mnasema atahatarisha Diplomasia?

Mlivyo Wapumbavu mnamzushia kuwa Bongo Zozo ni Jasusi aliyeko hapa Tanzania huku mkisahau kuwa hata Tanzania nayo imepandikiza hivyo hivyo Majasusi nchi mbalimbali ila wala hamhoji hilo.

Na cha Kushangaza wanaoumia na Kuteseka na Bongo Zozo kutwaa Tuzo ni Mashabiki wa Yanga SC (wakisahau pia kujua kuwa ni Shabiki Mwenzao wa Yanga SC) ila Mashabiki Makini, Wastaarabu na Wanamichezo wa kweli wa Simba SC wala hawana tatizo na Yeye Kuitwaa hiyo Tuzo.
 
Manara alikosea padogo sana ila hio tuzo ilikua yake
Hapana mazee ukweli usemwe, linapokuja swala la uhamasishaji bongo zozo anajitoa sana

Haji anafanya hivyo kama ajira na ndio maana katikati pale alipoachana na club ya simba alitulia

Laikini bongo zozo anasafiri na timu kokote kule iendako, ana hamaisha hadi watu kutoka nchi za kimataifa huku akiwafundisha kiswahili, hapa bongo zozo anapiga ndege wawili kwa jiwe moja
 
Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara.

Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa Tanzania ndiyo muanze Kuhoji Uraia wake mara anafanya nini, mara mseme ni Jasusi na sasa mnasema atahatarisha Diplomasia?

Mlivyo Wapumbavu mnamzushia kuwa Bongo Zozo ni Jasusi aliyeko hapa Tanzania huku mkisahau kuwa hata Tanzania nayo imepandikiza hivyo hivyo Majasusi nchi mbalimbali ila wala hamhoji hilo.

Na cha Kushangaza wanaoumia na Kuteseka na Bongo Zozo kutwaa Tuzo ni Mashabiki wa Yanga SC (wakisahau pia kujua kuwa ni Shabiki Mwenzao wa Yanga SC) ila Mashabiki Makini, Wastaarabu na Wanamichezo wa kweli wa Simba SC wala hawana tatizo na Yeye Kuitwaa hiyo Tuzo.
Msukule ulishasema huko Utopolo mwenye akili kidogo ni JK na Sunday Manara waliobaki wote hawana akili kabisa.
 
Back
Top Bottom