GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara.
Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa Tanzania ndiyo muanze Kuhoji Uraia wake mara anafanya nini, mara mseme ni Jasusi na sasa mnasema atahatarisha Diplomasia?
Mlivyo Wapumbavu mnamzushia kuwa Bongo Zozo ni Jasusi aliyeko hapa Tanzania huku mkisahau kuwa hata Tanzania nayo imepandikiza hivyo hivyo Majasusi nchi mbalimbali ila wala hamhoji hilo.
Na cha Kushangaza wanaoumia na Kuteseka na Bongo Zozo kutwaa Tuzo ni Mashabiki wa Yanga SC (wakisahau pia kujua kuwa ni Shabiki Mwenzao wa Yanga SC) ila Mashabiki Makini, Wastaarabu na Wanamichezo wa kweli wa Simba SC wala hawana tatizo na Yeye Kuitwaa hiyo Tuzo.