pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,098
- 12,469
Habari za majukumu mashabiki na wapenzi wa soka nchini Tanzania na Africa mashariki kwa jumla naamini niwazima na wale wenye changamoto mungu awasaidie na kuwafanyia wepesi.
Twende kwenye mada sasa leo ni siku ya furaha kwa wananchi baada ya CAF kuwapost katika page yao ya Instagram baada ya kupita kwa mda mrefu wenyewe wanajiita mabingwa wa kihistoria ila kwa kinachoendelea na kilichotokea katika safari ya soka ni sawa kabisa wajiite jina hilo.
Lakini sasa kwa upande mwingine ni tofauti kabisa hawana lolote la kujivunia katika mashindano ya kimataifa na team yoyote duniani inapimwa ubora na ukubwa kutokana na mafanikio ya kimataifa ambayo kwetu tunaita Caf champions league kwa wazungu ni UEFA champions league.
Hata kule ulaya licha ya ubabe na records mbali katika league zao lakini bado PSG na MANCHESTER CITY ni underdog kwenye mashindano ya UEFA champions league japokuwa katika league zao wana heshimika ila wao wamekubali kuwa ni underdog katika mashindano hayo ila sasa huku kwetu ni ajabu sana yanga kujifananisha na simba kwasababu tu wakikutana basi mara nyingine yanga huifunga simba kwa hyo wanajiona wako sawa wakati kiukweli wameachwa mbali na wana lunyasi najua hawawezi kukubali.
Kumbe mara ya mwisho kwa yanga kuingia makundi ni mwaka 1998 ila wanavyotukana huko kwenye page ya CAF champions league ndo nimeamini yanga wenye akili ni wawili tu sasa CAF wana shida gani mpaka muwatukane wakati nyie wenyewe mnajiita mabingwa wa kihistoria.
Haya mkajibu swali la CAF mtaweza kutoka mlipo na kusogea kidogo angalau muwafikie namungo maana kule mna 0.5 mwaka wenu huu kuthibitisha mnaweza maana team yenu imekamilka kila idara hakuna wa kumsingizia wala kumtupia lawama.
NB : kuwa nafasi ya 12 kwa simba sc barani Africa na kuiwezesha Tanzania kupeleka team 4 badala ya mbili pia ni mafanikio sio lazima kubeba ndoo kwani mafanikio yanaanza na msingi na yanatokea kidogo kidogo na kwa awamu.