Wana WWE john cena is fired!!

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Cena is fired after givin' win wwe title to randy orton instead of wade barrett.
 
Hatutamuona tena kama Jeff Hard, Shawn Michel, na wengine au atarudi? maana WWE wakati mwingine inachanganya
 
wwe ni wahuni,hupenda kumpunzisha mwanamieleka ili wale fans wao wawe na hamu ya kumwona pindi alejeapo hivyo huwasaidia waandaji wa wwe kupata kipato kikubwa kama kiingilio na lotto wakati mwanamieleka anaporudi uringoni
hivyo usiumize kichwa mkuuuuuu,watamlejesha pindi wakigunduwa kuwa mnahamu ya kumwona

mapinduziiiiii daimaaaaa
 
halafu unajua kuna watu wazima kabisa na akili zao wanaamini kuwa hao jamaa huwa wanadundana kweli.....SMH
 
Undertaker Jeee ... nasikia alizikwa akiwa hai naye uyu atafufuka au ndio..
 
Undertaker Jeee ... nasikia alizikwa akiwa hai naye uyu atafufuka au ndio..

Kaka can you real blieve mtu anaweza kuzikwa alive, tena na mdogo wake, halaf anajinadi kabisa mbele ya kadamnasi kwamba amefanya hivyo.........
 
Wanapigana kweli bwana, we see the show live, and if is not true, why injuries whic keeps some of them out for sometyms???????

Kuna action zengine zinakuwa kweli, na zengine zinakuwa feki. Wanatumia trick camera kuwadanganya watu kwamba ni kweli.
Matokeo yanapangwa nani ashinde, wenyewe wanaita Show. Ukitaka kujua tofauti kati ya kweli na uongo angalia MMA ambayo ni true actions.
Brock Lesnar alikuwa anadominate ktk WWE, lakini sasa hivi yupo MMA akimaliza kupigana utaona sura yake imejaa uvimbe mkubwa kuliko alivyokuwa ktk WWE.

Pamoja na Ufeki wa show ya WWE bado ni Entertainment, ndiyo maana watoto wengi, wakubwa, wanapenda kuangalia WWE.
 
wwe .. ni story tu! nasikia cena amechuwa break kutoka na movie yake mpya, jericho yupo kwenye tour na band yake, kuna vitu kama champinos ship nafikiri wanashindana kweli sababu MIZ alipo cash money in the bank alikuwa anafurahi balaa ila itabiki vilevile WWE its a reality TV show

mambo ni hapa Ultimate Fighting Championship UFC ndio kuna ngumi za ukweli


UFC_blood.jpg
 
The man was fired but his respect was still intact. He proved to be the real Champ. I bet he will appear at Wrestlemania. Also The Phenomen will appear to make it 18-0. Batista has joined MMA but he is toiling in vain. By the way I luv The Viper Randy Orton.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom