Wana wa Musoma tunamuhitaji Nimrod Mkono popote alipo aje aseme nasi

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
NIMROD MKONO ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini aliyechaguliwa mwaka 2015. Hajawahi kuonekana Bungeni tangu mwaka 2016 mwaka mmoja kabla ya Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi.

Lakini yeye analipwa mshahara wake wote na hatujawahi kusikia taarifa yake yoyote huko Bungeni ikiwekwa wazi.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani ya Jimbo lake ni kuwa anaumwa tangu mwaka 2016 mpaka leo na hajawasilisha tamko la mali zake lakini hajawahi kuachishwa Ubunge.

Lissu aliyepigwa risasi 16 mwilini tena mchana hadharani anaachishwa Ubunge.

Wana wa musoma tunahitaji kumuona mkono nimrod mbuge wetu kwani tangu 2015 hatujawahi sikia sauti yake bungeni.
 
Tutayajua mengi, ni aibu kubwa kwa washamba na wenye visasi, wanaoharibu umoja na ustawi wa taifa letu. Ushauri walio mbele ya kamera na nyuma watubu watuombe na kututaka radhi tusonge mbele.
 
Kunya anakunya kuku akinya bata kaharisha
NIMROD MKONO ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini aliyechaguliwa mwaka 2015. Hajawahi kuonekana Bungeni tangu mwaka 2016 mwaka mmoja kabla ya Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi.
Lakini yeye analipwa mshahara wake wote na hatujawahi kusikia taarifa yake yoyote huko Bungeni ikiwekwa wazi.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani ya Jimbo lake ni kuwa anaumwa tangu mwaka 2016 mpaka leo na hajawasilisha tamko la mali zake lakini hajawahi kuachishwa Ubunge.
Lissu aliyepigwa risasi 16 mwilini tena mchana hadharani anaachishwa Ubunge.

Wana wa musoma tunahitaji kumuona mkono nimrod mbuge wetu kwani tangu 2015 hatujawahi sikia sauti yake bungeni
 
Pole watu wa Musoma,hata Prof Muhongo naye hasikiki.
Sisi wa Ikungi Lissu atarejesha Ubunge wake mahakamani.Walipitiwa tu wakati wanamvua Ubunge TL
 
Prof Muhongo nasikia anapiga kazi jimboni kimyakimya japo Bungeni huwa hasikiki
 
Pole watu wa Musoma,hata Prof Muhongo naye hasikiki.
Sisi wa Ikungi Lissu atarejesha Ubunge wake mahakamani.Walipitiwa tu wakati wanamvua Ubunge TL
Mpaka kesi iishe uchaguzi ijao utakuwa tayari
 
Lissu baba njoo utuondolee mwenyekiti wa watu wasiojulikana jiwe.
 
NIMROD MKONO ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini aliyechaguliwa mwaka 2015. Hajawahi kuonekana Bungeni tangu mwaka 2016 mwaka mmoja kabla ya Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi.

Lakini yeye analipwa mshahara wake wote na hatujawahi kusikia taarifa yake yoyote huko Bungeni ikiwekwa wazi.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani ya Jimbo lake ni kuwa anaumwa tangu mwaka 2016 mpaka leo na hajawasilisha tamko la mali zake lakini hajawahi kuachishwa Ubunge.

Lissu aliyepigwa risasi 16 mwilini tena mchana hadharani anaachishwa Ubunge.

Wana wa musoma tunahitaji kumuona mkono nimrod mbuge wetu kwani tangu 2015 hatujawahi sikia sauti yake bungeni.
Yale ya lissu ni maagizo kutoka angani
 
Back
Top Bottom