wana wa mahcipi/ifakara sekondari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana wa mahcipi/ifakara sekondari

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtende, Mar 29, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  habari zenu wajameni
  hivi humu ndani kuna waliopita ifakara sekondari au kwa jina maarufu machipi? duuh kama mpo lets share funs, tukumbushane matukio muhimu maana ile skul ina mabo lo!ilkua ya mixture ila kwa sasa ni girls tupu since 2006 ambapo ndio na mimi nilijoin pale advance
   
Loading...