Wana wa JF,Me na My mother Tumewakosea nini jamani? Mniambie....!!!

Enyi member wa Jf,nilikuwa
kimya mda mrefu nikisubiri heka heka za KTMA ziishe,sasa nimekuja toa
dukuduku langu.
Mmebandika picha yangu na mdogo wangu na mama'angu stejini (Hadija Kopa)
ktk Jf Photo, nimeona michango ya baadhi yenu,mmetuponda sana,au nguo
fupi niliyokuwa nimevaa jamani?
Roho iliniuma sana wana Jf,si vizuri hvyo,au huu unene wangu?
Haya poa.
Hakika mlipendeza sana Madame...
Je na wewe unaimba Taarab kaka mama yako Malkia Hadija Kopa?
 
Back
Top Bottom