Wana uchumi nisaidieni tafadhali

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Nimejaribu kutafuta hii mambo ata kwenye mtandao sikupata, plz help me.
What are the implications of revenue in Agriculture?
:bowl:
 
Nimejaribu kutafuta hii mambo ata kwenye mtandao sikupata, plz help me.
What are the implications of revenue in Agriculture?
:bowl:

Suali liko too general(lina uwanja mpana wa kucheza nalo)...tatizo tumejifunza kukaririshwa majibu kutoka yaliopikwa na wenzetu,...maake navyojua mimi_revenue implication kwenye kilimo cha tz...sio sawa na USA,UK etc,...ndio maana hata majibu ya matatizo ya Kyela,Mara,Bukoba etc tunataka tutumie majibu ya huko huko.
 
Nimejaribu kutafuta hii mambo ata kwenye mtandao sikupata, plz help me.
What are the implications of revenue in Agriculture?
:bowl:

Kama ni assignment kutoka kwa mwalimu mwambie atulize kichwa. Swali halieleweki.
 
Mkuu kijibu swali lako inakua ngumu sana.

Lazima kabla ya kuuliza Revenue implication, kuna swali la msingi ulilioulizwa
then revenue implication ikafuatia kama followup question. Mfano what happens
if taxes on imports of agro processed products is increased by 10%?
What is the implication to Government revenue - in relation to agric sector?....

tukiwa na scenario kama hii tunaweza kukujibu kwa uhakika zaidi kuliko ulivyoweka
swali lako.

Nawasilisha
 
walimu wa .com na wanafunzi wao. kaz kwelkwel. enzi ya mwalimu hakukuwa na upuz kaa huu.
 
Back
Top Bottom