Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,641
Na National team ya Nigeria....
ndio maana sijawahi kuamini katika ushirikina tangu nianze kuujua...
ushirikina ungekuwa unafanya kazi basi sumbawanga na tanga kungekuwa na klabu bora kabisa ligikuu..
Sent using Jamii Forums mobile app