Acha ujinga wwWe jamaa utakuwa unapakwatwa!! kulikuwa kuna haja ya kunitukana?
Beki za Al Ahly zimefungwa na Kagere nazo utaziita mbovu??? Grow up aisee.
Manula ni uchovu tu
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini
Mimi naanza
Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde
Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao
Ongezea na wewe unaoona hawafai
Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu
Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto
Wakimataifa wanaotakiwa kubaki
Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima
Wengine watuachie team yetu
Huu ni mtazamo wangu
View attachment 1094171View attachment 1094173
Wakija wachezaji wa maana hao ni bench tuhapo kwa nyoni, kotei na mlipili umepuyanga.. inaonekana huangaliag game za simba
Endelea kuwa mtazamaji.. changia bakuli mfanye usajiliTafuteni mwarobaini wa kufungwa hamsa ugenini
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini
Mimi naanza
Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde
Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao
Ongezea na wewe unaoona hawafai
Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu
Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto
Wakimataifa wanaotakiwa kubaki
Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima
Wengine watuachie team yetu
Huu ni mtazamo wangu
View attachment 1094171View attachment 1094173
MBONA UMEMTAJA MBONDE? KWA HIYO KUPATA MAJERAHA MTU ANAACHWA?Wazawa wanaotakiwa kubaki.
Manula
Nyoni
Mlipili
Kapombe
Mkude
Mzamiru
Zimbwe jr
Bocco
R.Juma
Ndemla
Mo Ibrahim
Wageni wanaotakiwa kubaki.
Chama
Kagere
Okwi
Haruna
Kotei.
HAWA WASEPE TU TUNAWASHUKURU SANA:-
DIDA
KWASI
GYAN
BUKABA
SALAMBA
WAWA
J.MURSHID
ZANA
MBONDE.
Usajili huu wengi itakuwa maproo walioshia hatua za makundi CL na kombe la shirikishoWANOONDOKA NI..JUUKO NA GYAN WANOENDA YANGA.KWASI,WAWA,DIDA,MBONDE.SALAMBA ANAENDA MKOPO...WAFANYE WAFANYAVYO KAHEZA ARUDI WING YA KUSHOTO BADO RASHID JUMA HANA MAAMUZI KABISA YA MWISHO ZAIDI YA KUKIMBIA
LETA NAMBA YAKO TUKUUNGE GROUPS NYINGI HAZITOI LINKAkikupa link nami nipe dm nijoin
DIFENSIVE MIDFILDER TAYARI ALISHASAJILIWA ANAITWA JEAN OUREGA, INGIENI YOU TUBE MJIONEE MAMBO YAKE. KWA UPANDE WANGU BADO TUNAMHITAJI SANA KOTEI SEMA KACHOKA SANA KWA SABABU YA KUCHEZA NA MTU MVIVU, MKUDE SO ANAZUNGUKA SANA UWANJANI MKITAKA KUTHIBITISHA HILO MUANGALIE MECHI YA KWANZA NA JKT ALITOKA MBALI SANA AKAMPITA MKUDE KWENDA KUOKOA GOLININakubaliana na ushauri wako Kapombe asaidiwe na beki mzawa labda Kimenya wa Prison au mwingine mkali, tulete professionals defensive midfielder wawili. Sorry nilikosea sio Vitalis Maembe Bali Vitalis Mayanga wa ndanda ambaye tayari tunamkataba naye.
Unaumwa weweHawa watupishe
Okwi
Kagere
Nyoni
Niko
Niyonzima
Chama