Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

KWA MTIZAMO WANGU WACHEZAJI WA KUACHWA NI:
1. ZANA - HUYU AUSEMS AKIGOMA KUMUACHA BASI WAONDOKE WOTE. ASILETE UTANI KABISA.
2. MO IBRAHIM - HUYU JAMAA SIJUI KAKUMBWA NA SHIDA GANI PALE SIMBA. ALICHEZA VIZURI
MSIMU MMOJA TU. AENDE TIMU NYINGINE AKAOKOE KIWANGO CHAKE BADO ANAWEZA
CHEZA MISIMU SITA LIGI KUU VIZURI TU.
3.KWASI - AENDE TU KIWANGO KIMESHUKA SANA NA KAPOTEZA KUJIAMINI KABISA.
4.SALAMBA - AMEPEWA SANA MUDA WA KUCHEZA LAKINI HAKUNA UBUNIFU WALA UTULIVU
MBELE YA GOLI. KASHINDWA HATA KUJIFUNZA KWA OKWI NA KAGERE.
5.DIDA - AMESHINDWA KUMPA CHANGAMOTO MANULA. AMEKUWA MZITO NA ANAKOSA
MAAMUZI YA HARAKA. KUNA WAKATI ANAKUWA KAMA KAZUBAA HIVI GOLINI.
6. BUKABA - ANA BIDII SANA LAKINI ANA MATUMIZI KIDOGO SANA YA AKILI NA UJANJA.
ANACHEZA RAFU ZISIZO NA FAIDA KWA TIMU.
7. WAWA - HUYU NI UMRI NA MAJERUHI ILA UFUNDI BADO UPO.
8.GYAN - HUYU SIO MBAYA. LAKINI KAMA ITAHITAJIKA NAFASI MOJA YA ZIADA YA KIGENI BASI
HAKUNA ITABIDI KIKOMBE KIMPITIE.

MAPENDEKEZO YA USAJILI.
1. TIMU ITAFUTE WINGA WA ASILI KWA UPANDE WA KUSHOTO NA KULIA. MAPENDEKEZO KAHEZA
ARUDISHWE KUTOKA KWENYE MKOPO AU HATA KABUNDA WA KMC KWANI BAADA YA
KUONDOKA KICHUYA KOCHA ANATUMIA WACHEZAJI WA KIUNGO KAMA MAWINGA. KUNA
BAADHI YA MECHI UNAONA KABISA MAWINGA TELEZA WANAHITAJIKA.
2. KIPA WA KUMPA CHANGAMOTO MANULA. MAKIPA WAZURI BONGO WAPO KAMA KOKOLANYA,
METACHA, KALAMBO N.K. YULE TIMU YA VIJANA NI MZURI ASIACHWE APEWE MECHI ZA
KUTOSHA ILI AKUZE KIWANGO NA UZOEFU WAKE.
3.RASHID JUMA NI DIAMOND INAYOHITAJI POLISH KIDOGO TU. KWA ALIYEMLETA SIMBA ALIONA
MBALI. HUYU NI MBADALA WA OKWI MIAKA MITATU IJAYO. NASHANGAA KUNA WATU
WANASEMA ETI AACHWE. HIVI HAWA WATU WALIMUONA OKWI WAKATI ANASAJILIWA SIMBA? JE
WANAJUA UMRI WA RASHID JUMA? SIMBA WAMPE MKATABA WA MUDA MREFU WASIJE
WAKALIA BAADAE
4.SALUM KIMENYA - APEWE ANACHOHITAJI. MSIMU HUU ASAINI. ANAWEZA KUMSAIDIA KAPOMBE
KULIA NA KUTUMIKA KAMA WINGA ASILI WA KULIA.
5.VITALIS MAYANGA - HUYU SIMBA WAMALIZANE NAYE KABISA KWANI NYEPESI NYEPESI
ALISHAPEWA MKATABA WA MWANZO. NI MBADALA WA SALAMBA ALIYESHINDWA
KUFURUKUATA. IKISHINDIKANA MO RASHIDA ALIYE KWA MKOPO KMC ARUDISHWE
6. MAPENDEKEZO MENGINE: BEKI WA KUSHOTO WA KUMSAIDIA MOHAMED HUSSEIN AMBAYE
PIA ANAWEZA KUCHEZA BEKI YA KULIA, BEKI WA KIMATAIFA MMOJA WA KATI, KIUNGOMKABAJI
MMOJA WA KIMATAIFA WA KUSAIDIANA NA KOTEI NA MKUDE NA MSHAMBULIAJI MMOJA WA
KIMATAIFA AMBAYE ANAWEZA KUCHEZA KAMA MSHAMBULIAJI WA KATI AU NYUMA YA
MSHAMBULIAJI WA KATI.
8. KWA VIUNGO WASHAMBULIAJI DILUNGA, CHAMA, NIYONZIMA, MUZAMIRU NAFIKIRI
WANATOSHA.
 
MANULA PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE KIBONGO BONGO BADO NI MAKIPA WAWILI AU MMOJA WANOMFIKIA KIWANGO CHAKE. AKIPATA USHINDANI WA KWELI ATARUDI KWENYE KIWANGO CHAKE. TATIZO LA MANULA NI MIPIRA YA KROSI/KONA NA TABIA YAKE YA KUSOGEA MBELE YA GOLI BILA SABABU ZA MSINGI. NA MAGOLI MENGI ANAYOTUNGULIWA NI YALE YA MBALI AMBAYO FOWADI WAJANJA HUWA WANMCHUNGULIA. KINACHONISHANGAZA NI HUYO KOCHA WA MAKIPA SIJUI HAJAWAHI KULIONA HILI TATIZO AU NI UZEMBE WA MANULA KUTOKA TOKA GOLINI.
 
hapo kwa nyoni, kotei na mlipili umepuyanga.. inaonekana huangaliag game za simba
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto


Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
 
Kama kanuni za tff zingeruhusu kusajiri wachezaji wote bila kujali mipaka ya nchi, mchezaji mmoja tu wa tz angebaki simba. Lakini kwa kanuni za sasa kuwapata wachezaji wa hadhi ya kucheza simba ni ngumu sana, 100% ya wachezaji wa simba wanakaa benchi ama jukwaani ni first eleven wa timu kama siyo zote basi 17 za TPL. Tusiwabeze, tz hatuna wachezaji.
 
WANOONDOKA NI..JUUKO NA GYAN WANOENDA YANGA.KWASI,WAWA,DIDA,MBONDE.SALAMBA ANAENDA MKOPO...WAFANYE WAFANYAVYO KAHEZA ARUDI WING YA KUSHOTO BADO RASHID JUMA HANA MAAMUZI KABISA YA MWISHO ZAIDI YA KUKIMBIA
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto


Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
Wazawa wanaotakiwa kubaki.
Manula
Nyoni
Mlipili
Kapombe
Mkude
Mzamiru
Zimbwe jr
Bocco
R.Juma
Ndemla
Mo Ibrahim
Wageni wanaotakiwa kubaki.
Chama
Kagere
Okwi
Haruna
Kotei.
HAWA WASEPE TU TUNAWASHUKURU SANA:-
DIDA
KWASI
GYAN
BUKABA
SALAMBA
WAWA
J.MURSHID
ZANA
MBONDE.
MBONA UMEMTAJA MBONDE? KWA HIYO KUPATA MAJERAHA MTU ANAACHWA?
 
WANOONDOKA NI..JUUKO NA GYAN WANOENDA YANGA.KWASI,WAWA,DIDA,MBONDE.SALAMBA ANAENDA MKOPO...WAFANYE WAFANYAVYO KAHEZA ARUDI WING YA KUSHOTO BADO RASHID JUMA HANA MAAMUZI KABISA YA MWISHO ZAIDI YA KUKIMBIA
Usajili huu wengi itakuwa maproo walioshia hatua za makundi CL na kombe la shirikisho
 
Nakubaliana na ushauri wako Kapombe asaidiwe na beki mzawa labda Kimenya wa Prison au mwingine mkali, tulete professionals defensive midfielder wawili. Sorry nilikosea sio Vitalis Maembe Bali Vitalis Mayanga wa ndanda ambaye tayari tunamkataba naye.
DIFENSIVE MIDFILDER TAYARI ALISHASAJILIWA ANAITWA JEAN OUREGA, INGIENI YOU TUBE MJIONEE MAMBO YAKE. KWA UPANDE WANGU BADO TUNAMHITAJI SANA KOTEI SEMA KACHOKA SANA KWA SABABU YA KUCHEZA NA MTU MVIVU, MKUDE SO ANAZUNGUKA SANA UWANJANI MKITAKA KUTHIBITISHA HILO MUANGALIE MECHI YA KWANZA NA JKT ALITOKA MBALI SANA AKAMPITA MKUDE KWENDA KUOKOA GOLINI
 
Back
Top Bottom