Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Rashidi juma? Huyu tunayemjua hajui kutuliza mpira, first touch yake hovyo, hawezi ku shoot golini, hawezi kutoa pass,utoto mwingi anachojua ni kukimbia tu
Waondoe wote abaki niyonzima na rashid juma tu
 
Ulipomtaja nyoni na tshabalala kwamba hawafai sijaendelea kusoma uzi wako
zimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
 
avatar yako inaonyesha tu upo mlongo gani na umeandika haya kwa chuki zako kwa timu flani ,kwa taarifa yako zimbwe ametitwa timu ya taifa na hicho kiwango cha gadiel michael unachokiongelea cjui ni kipi ,punguza mapenzi binafsi
 
zimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
mbona ameitwa sasa
 
Simba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
kumuita kipa namba moja wa Taifa mbabaishaji ni kuikosea adabu soka
 
zimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
Gadiel huyu ambae hata kros hajui kupiga au yupi?... bora useme watu kama Bruce Kangwa sio Gadiel.
 
Ajibu na Gadiel kutoka timu gani?? Acha kuota.. Hakuna Mchezaji atakayeondoka Yanga kama Zahera anamuhitaji.. Eti Kabunda baba yake kavuja jasho na damu Yanga.. mwenyekiti Yanga Kasema timu inaenda Germany kwa marafiki zake mjipange
we umekula nini kwenye vitu serious unaleta urafiki, marafiki ndio wanalipa mishahara na marupurupu ya wachezaji kila team itaishi kwa kiwango chake
 
mapungufu ya Gadiel ni madogo kuliko Zimbwe Jr na Gadiel anayo experience na exposure kubwa pengine kuliko Bruce
Unamfaham vzr Bruce Kangwa?.. Gadiel anachomzidi Zimbwe Jr ni kutoa mpira nje hata kama hajabanwa.
 
Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??

Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...

Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...

Tafakari.
kotei ni invisible haonekani kwa wasiojua soka ila ndiye anayefanya Team imbalance ,muondoe uone team itakavyoelemewa
 
Back
Top Bottom