Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Huyu Abdlaziz Makame ni bonge la kiungo Fei Toto na Mkude wanasubiri. Kama kweli kapona vizuri goti lake na atarudi kuwa fiti ligi ijayo itakuwa na ushindani sana. Tatizo la timu zetu sio risk taker. Huyu jamaa aliumia kama sikosei goti kwenye challenge cup Kenya kama miaka miwili iliyopita. Lakini hakuna klabu iliyotaka kumtibu ili ije imtumie baadae. Jamaa akaamua kukaa pembeni mwaka mzima anajitibu goti. Leo karudi uwanjani Simba na Yanga zinapigana vikumbo na inasemekana Yanga wamefanikiwa kumpata.

Kwa kuwa ni mchezaji mzuri timu makini ingemchukua wakati mgonjwa kwa mkataba wa kumtibu baada ya kufanya assessment ya majeraha yake na kumpa mkataba rafiki ambao ungekuwa wa faida kwa pande zote mbili. Ila timu zetu zinapenda sana ready made na kwa mtindo huu huwa tunapoteza sana vipaji vizuri kwa wale wachezaji wasioweza kujitibu.
 
Eti zanzibar tu hapo unatuma ticket kweli tuko serious timu lazima iwe na muunganiko wa wachezaji wa ndani na nje sio tutegemee nje peke yake
 
Huyu Abdlaziz Makame ni bonge la kiungo Fei Toto na Mkude wanasubiri. Kama kweli kapona vizuri goti lake na atarudi kuwa fiti ligi ijayo itakuwa na ushindani sana. Tatizo la timu zetu sio risk taker. Huyu jamaa aliumia kama sikosei goti kwenye challenge cup Kenya kama miaka miwili iliyopita. Lakini hakuna klabu iliyotaka kumtibu ili ije imtumie baadae. Jamaa akaamua kukaa pembeni mwaka mzima anajitibu goti. Leo karudi uwanjani Simba na Yanga zinapigana vikumbo na inasemekana Yanga wamefanikiwa kumpata.
Kwa kuwa ni mchezaji mzuri timu makini ingemchukua wakati mgonjwa kwa mkataba wa kumtibu baada ya kufanya assessment ya majeraha yake na kumpa mkataba rafiki ambao ungekuwa wa faida kwa pande zote mbili. Ila timu zetu zinapenda sana ready made na kwa mtindo huu huwa tunapoteza sana vipaji vizuri kwa wale wachezaji wasioweza kujitibu.
Mkuu Mkude huyu wa Simba akasome kwa huyu mzanzibar?.. mbona hatari.
Mkude mtoe kwenye level za watoto hao
 
Huyu Abdlaziz Makame ni bonge la kiungo Fei Toto na Mkude wanasubiri. Kama kweli kapona vizuri goti lake na atarudi kuwa fiti ligi ijayo itakuwa na ushindani sana. Tatizo la timu zetu sio risk taker. Huyu jamaa aliumia kama sikosei goti kwenye challenge cup Kenya kama miaka miwili iliyopita. Lakini hakuna klabu iliyotaka kumtibu ili ije imtumie baadae. Jamaa akaamua kukaa pembeni mwaka mzima anajitibu goti. Leo karudi uwanjani Simba na Yanga zinapigana vikumbo na inasemekana Yanga wamefanikiwa kumpata.

Kwa kuwa ni mchezaji mzuri timu makini ingemchukua wakati mgonjwa kwa mkataba wa kumtibu baada ya kufanya assessment ya majeraha yake na kumpa mkataba rafiki ambao ungekuwa wa faida kwa pande zote mbili. Ila timu zetu zinapenda sana ready made na kwa mtindo huu huwa tunapoteza sana vipaji vizuri kwa wale wachezaji wasioweza kujitibu.
Acha kumfananisha mkude na vitu vya kijinga
 
Kwa kuwa ni maoni yako acha niyaheshimu tu
Ila kwa simba yetu golikipa anahitajika wakati mwingine bora dida, manula ana makosa fulani yanatughalimu mnoo, kifupi simba inahitaji golie mwingine tofauti na hao wajomba wawili

Kuhusu
Nyoni: sijaona kama nyoni simba, kama nyoni hafai basi beki wote simba ni wabovu hawafai
Wawa: nadhani wawa mnamtizama kwa jicho la kishabiki na kusikiliza ya watu simba still inamuhitaji wawa mpaka atakapopatikana wawa mwingine.
Kotei: niko nusu aidha aende ama abaki, lau kama mkude angekuwa anakaba na kujituma kama kotei sidhan kama simba ingekuwa inahitaji huduma ya kotei, ila mkude yupo kifaza saana, majukumu yake ya kiulinzi hakamilishi vizur, siku hizi sio mporaji mipira mzuri tena, siku hizi sio mkataji umeme mzur tena
Wakati mwingine kocha inamlazimu acheze na midfielders 2, kotei na mkude huku akimsogeza juu na kotei akiwa chini

Simba inahitaji striker mmoja msumbufu, mwenye kukaa na mali mguuni, kwake mabeki wawili watatu sio tabu, mnyumbulifu, control tope. Sijui tutampatia wapi maana hata ulaya nako wameadimika

Upande wa zimbwe jr anahitajika mtu mwingine wa kumpa challenge, zimbwe mzuri akiwa na mpira, sio mzuri tukishambuliwa, kwenye matumizi ya nguvu ndio kabisa, tupate mtu mfanano wa bruce kangwa wa azam

Tunahitaji winger teleza mmoja
Beki moja ya kati yenye akili, nguvu na contol, jicho la pasi kama wawa ila umri uwe bado
Midfielder nzuri ya kukaba, yenye uwezo wa kukaba vizuri, kukaa na mali, kupiga pasi za uhakika na mzuri wa kushambulia.
Goli kipa la haja.
 
Tunachokisema wachezaji ni wazuri ila wanatakiwa wapate wazuri zaidi yao. Akija mzuri zaidi na aliyepo akashindwa kulinda kiwango chake bench linamhusu tu.

Dida hawezi kuwa mzuri kuliko Manula, na ukimweka dida kwenye match za kimataifa mtaishia kufungwa mapema tu
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto

Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
Mzamiru bado anahitajika, Mlipili bonge moja la beki anatufaa sana,, Zana, Kwasi, Juuko, Mo,Wawa mbonde tuwashukuru, Gyan kama tutapata beki kama kapombe nae tumuage but kama hatuta pata bado anatufaa
 
Pamoja na Mo kusema tutafanya usajili hatari bado yaonyesha hatuna timu nzuri ya usajili naona jamaa zetu wameingia sokoni kwa kasi sana
Hii habari ya mchezaji wa zanzibar kumtumia ticket hapo zanzibar mtu serius si anaenda mara moja tu mwaka jana tulimkosa feisal hivi hivi kizembe zembe
Lakini hatuna ushahidi kuwa tulimtumia ticket zaidi ya uzushi wa magazeti, huyo mchezaji kawahi kuchezea Simba ya vijana alikuwa anacheza beki ya kati na alikuwa anavaa jezi no 9.Mo karudia kuwa ndo wanapitia taarifa ya kocha mkuu
 
Kumekucha
IMG-20190531-WA0021.jpeg
 
Simba ilipofika haitakiwi ivurugwe badala yake wanahitaji wachezaji wapya kama kumi tu, sita wa ndani na wanne wa kimataifa.
1. Kipa ambaye wa kumpa changamoto Manula - wazawa wapo wengi
2. Beki wa kulia wawili wa kusaidiana na kapombe - hapa bongo wapo kibao.
Zana aondoke zake.
3. Beki wa kushoto mmoja mzawa wa kusaidiana na Zimbwe - Kwasi aende
4. Mabeki wa kati wawili - mmoja mzawa mwingine wa nje - Juuko aende
5. Kiungo mkabaji mmoja mtu wa kazi - huyu atoke nje sioni mchezaji wa aina
hiyo hapa Tanzania.
6. Mawinga teleza wawili ili kusaidia pale timu pinzani zinapopaki basi na Simba
kushindwa kupita katikati - mmoja wa bongo na mwingine wa kimataifa.
7. Mshambuliaji mmoja wa kimataifa wa kati zaidi ya Medi Kagere.

Wachezaji wafuatao sioni nafasi zao katika Simba mpya,
Mo Ibrahim, Kwasi, Zana, Salamba, Dida, Bukaba na Juuko. Ila Gyan 50/50 akipatikana mbadala itabidi naye upepo umpitie
 
Wamesema wanahitaji wachezaji saba tu kwa mujibu wa ripoti ya mwalimu

Beki wa kulia, beki wa kushoto, wote wa kimataifa. Kutoka nnje

Mabeki wawili wa kati. Wote wa kimataifa kutoka nnje

Kiungo mkabaji mmoja wa kimataifa kutoka nnje.

Mshambuliaji mmoja wa kimataifa kutoka nnje.

Na winga mmoja wa ndani.
 
Chama, kagere, kotei, niyonzima. Hawa wa kimataifa kutoka nnje wabaki

Wengine tupa kule
 
Back
Top Bottom