Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao


OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,561
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,561 2,000
Kotei na Gyan ni underrated,ningekuwa Mo hawa sio wa kuondoka
 
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2007
Messages
404
Points
250
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2007
404 250
KWA KWELI ANAYEUJUA MPIRA HAWEZI KUMTETEA ZANA ABAKI. MPIRA UNACHEZWA HADHARANI NA KILA MTU ANAUONA UCHEZAJI WA ZANA. YAANI HAPA TANZANIA MABEKI WALIOMZIDI ZANA KIUCHEZAJI WAPO WENGI ILA NITATAJA WAWILI TU KIMENYA NA BOXER WA YANGA. MBAYA ZAIDI ZANA NI MCHEZAJI WA KIMATAIFA AMBAYE ANAPASWA AWE NA UWEZO MARA MBILI YA WACHEZAJI WA KIBONGO. AUSEMS ANAONA AIBU KUMPIGA BENCHI KWA SABABU YEYE NDIYE ALIOYEMLETA NA HATAKI KUKUBALI KUWA ALICHEMSHA KUMLETA SIMBA. INAWEZEKANA AUSEMS ALIMUONA ZANA ZAMANI KWA HIYO HAKUJUA KAMA KAISHA KIASI HICHO LAKINI KIUNGWANA TU ANGEMPIGA BENCHI AMPANGE GYAN AMALIZIE LIGI MWISHO WA MSIMU AMTEME ZANA AONDOKE. LAKINI KITENDO CHA AUSEMS KUENDELEA KUMPANGA ZANA ATAIGHARIMU TIMU MWISHO WA SIKU UBINGWA SIMBA INAWEZA KUUSIKIA TU UMEENDA YANGA NA HAPO NDO ITAKUWA MWISHO WA NDOA YA AUSEMS NA SIMBA.

PIA NI MAKOSA MAKUBWA KWA TIMU KAMA SIMBA KUMTEGEMEA KAPOMBE PEKEE AMBAYE AMETHIBITISHA TOKA AKIWA AZAM KUWA ANAKUMBWA NA MAJERAHA YA MARA KWA MARA. SIMBA INAHITAJIKA ISAJILI MABEKI WA KULIA WAWILI WA UHAKIKA IKIWEZEKANA MMOJAWAPO AWE WA KAIMATAIFA. HAO MABEKI WAWILI NA KAPOMBE JUMLA WAWE MABEKI WA KULIA WATATU. UKIANGALIA KWA SASA SIMBA NI DHAIFU SANA UPANDE WA KULIA TOKA KAPOMBE AMEUMIA JAPO KIDOGO GYAN ANAJARIBU KUFICHA HAYO MAPUNGUFU.

LAKINI KUNA SWALA LA MAWINGA TELEZA. KWA SASA SIMBA HAINA ZAIDI YA MMOJA TU RASHID JUMA AMBAYE BADO ANAJIFUNZA KUPITIA WAZOEFU WALIOPO SIMBA KWA SASA. KUNA BAADHI YA MECHI UNAONA KABISA KWAMBA TIMU PINZANI ZINAPAKI GARI NA ZINABANA UWANJA KATIKATI. KWA KUWA SIMBA HAINA MAWINGA WA ASILI WA PEMBENI MECHI INAKUWA IMEISHA TANGU DAKIKA YA KWANZA NA AUSEMS ANAKUWA HANA TENA PLAN "B" MPAKA ITOKEE TU GOLI LA BAHATI. WAKATI WA USAJILI WAKUMBUKE KUSAJILI MAWINGA WA ASILI WA PEMBENI KUSHOTO NA KULIA WENYE KASI SANA ILI KUWE NA UWEZEKANO WA KUBADILI MCHEZO PALE TIMU INAPOSHINDWA KUPITA KATIKATI.
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,561
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,561 2,000
Huyu Zana anachezea uvunguni mpaka mseme apewe muda?Kama kocha anamhitaji basi wote wawili wakatafute timu wanapojua
 
NYAMAGANA NJEMA

NYAMAGANA NJEMA

Member
Joined
Jan 20, 2019
Messages
18
Points
45
NYAMAGANA NJEMA

NYAMAGANA NJEMA

Member
Joined Jan 20, 2019
18 45
Mechi na As Vita hakucheza tulikua nae jukwaani (alikua pembeni yangu) Labda kama unaongelea ile tuliyopigwa 5 ambayo mchango wa wachezaji wote ulikua wa hovyo sana.
Alikuwa na kadi na nafasi yake alicheza Mzamiru aliyekula vizuri sana sahani moja na viungo hatari wa Vita kama Fabrice Ngoma
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,433
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,433 2,000
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto


Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
Kindoki.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
2,895
Points
2,000
Age
32
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
2,895 2,000
Alikuwa na kadi na nafasi yake alicheza Mzamiru aliyekula vizuri sana sahani moja na viungo hatari wa Vita kama Fbrice Ngoma
Kweli, tulikua nae jukwaani. Lile goli la pili la Chama lilivyo ingia alishangilia hadi aka anguka.
 

Forum statistics

Threads 1,295,417
Members 498,303
Posts 31,211,438
Top