3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,882
Wewe ndio tupishe.Hawa watupishe
Okwi
Kagere
Nyoni
Niko
Niyonzima
Chama
Wewe ndio tupishe.Hawa watupishe
Okwi
Kagere
Nyoni
Niko
Niyonzima
Chama
Kama ni winga kwa nini tusilete mtu wa uhakika kama vile Harrison CHISALA wa NKANA au Francis KAHATA wa Gor Mahia ili HARUNA au CHAMA mmoja apande juu kuliko kumjaribu Gyan.nakubaliana na wewe lakini sasa gyan amekuwa tofauti na tulipomleta ninavyomtazama tukimrudisha winga atakuwa hatari sana
Mbona Mengi alikuwa ni mzee na bado alikuwa anakula mishkaki...okwi na kagere wazee hatuwataki
Subiri watakao kwenda African kikosi cha kwanza kila mtu anaitwambona ameitwa sasa
tofauti yangu mimi ni mwanachama hai wa simba toka 1995 hadi sasa na wewe ni mshabiki tu,na nilianza ushabiki wa kiwango chako zamani, itabidi tuonyeshe kadi za uanachama ili tujadili club ndio tutaeshimianaavatar yako inaonyesha tu upo mlongo gani na umeandika haya kwa chuki zako kwa timu flani ,kwa taarifa yako zimbwe ametitwa timu ya taifa na hicho kiwango cha gadiel michael unachokiongelea cjui ni kipi ,punguza mapenzi binafsi
Mbona Mengi alikuwa ni mzee na bado alikuwa anakula mishkaki...
Msimu jana Okwi alifunga goli 20.. msimu huu 14.. anaongoza kwa hattrick na ligi haijaisha.
Kagere ana goli 20.. Au umetumwa?.. Ngasa ana goli ngapi?.. Vipi Tambwe?
Kweli .. ila sio sawa kumpa ubora kwa game 3 dhidi ya 40+ za Manula.katika mechi hizi chache za viporo alizocheza dida ameonyesha uwezo kuliko manula
Angalia kazi wanayofanya.. wewe umri unautaka wa nini?wenzetu yanga timu yao ya vijana, sisi wazee tupu
avatar yako inakataa uyasemayo,refer kauli ya polepole kwenye uchaguzi wa yangatofauti yangu mimi ni mwanachama hai wa simba toka 1995 hadi sasa na wewe ni mshabiki tu,na nilianza ushabiki wa kiwango chako zamani, itabidi tuonyeshe kadi za uanachama ili tujadili club ndio tutaeshimiana
Sijasema kwamba itaisha..nimetanguliza inaweza kuisha ..pia hizo hesabu ni dhahania kwa soka la Tanzania..Pengine ..narudia pengine labda asiwe na haraka ya faida..afunge macho amwage pesa ..tena sio tu kumwaga pesa..kumwaga pesa kwa malengo ya faida..Hujui maana ya uwekezaji ndio maana unasema itaisha
B 20 inatakiwa izalishe club itakuwa inatumia faida yake
Wanachama wakianza kununua his a zao na zikikamilika ile B 25 nayo inatakiwa izalishe itakachotumia club ni faida yake
Mfano B 20 kwa mwaka itazalisha faida ya B 3.5
B 25 itakuja kuzalisha faida kwa mwaka B 5.5
So club itakuwa na uhakika wa faida inayotokana na hisa kila mwaka ya Billions 9
sema wewe ndugu..mawatu hapa ni mashabiki bendera..a.k.a mashabiki maandazikotei ni invisible haonekani kwa wasiojua soka ila ndiye anayefanya Team imbalance ,muondoe uone team itakavyoelemewa
you know nothing bro..Robo sio hatua nzuri??... Hao Horoya wamefika fainali?.. Kweli we chura
Kiungo tunahitaji kiungo mkabaji mmoja mkali wa kuziba pengo la koteiAlafu viungo sibaki zile zile redio za mitumba?
Tumtafutie kipa kutoka nnje mkalikuna mtu hapa hatumtaji lakini kiukweli manula ni shati hasa kwa mipira ya mbali pia huwa haongei na mabeki wake
Huyu akifunfishwa ataelewa, bado mpira wa mchangani unamsumbuaRashidi juma? Huyu tunayemjua hajui kutuliza mpira, first touch yake hovyo, hawezi ku shoot golini, hawezi kutoa pass,utoto mwingi anachojua ni kukimbia tu
Kazi yake ni nzito, Ila kwa sasa amechoka mno sijui ni uchovu au niniWatu hawajui kazi ya KOTEI.. wanataka nae acheze kama Haruna.
Manula ni uchovu tukatika mechi hizi chache za viporo alizocheza dida ameonyesha uwezo kuliko manula
Huo sio uwekezaji sasa, hivyo ni vitu vinavyotokana faida za uwekezaji,Sijasema kwamba itaisha..nimetanguliza inaweza kuisha ..pia hizo hesabu ni dhahania kwa soka la Tanzania..Pengine ..narudia pengine labda asiwe na haraka ya faida..afunge macho amwage pesa ..tena sio tu kumwaga pesa..kumwaga pesa kwa malengo ya faida..
namaanisha uwekezaji..ningekuwa mimi ni yeye..hiyo Bilioni 20 naunua uwanja mkubwa katikati ya mji..haikosi bilioni 1 hata 2..uwanja mkubwa...Bilioni 10 najenga uwanja wa kutosha watu 30000 hadi 40000 pamoja na maduka makubwa ya kuzunguka uwanja...Bilioni 2 nawekeza kwenye vifaa ..hapo unatengeneza uwanja wa bunju kule na gym ya kisasa..bilioni 6..nawekeza kwenye makocha na wakufunzi wa kisasa..hao kina Muleka..makusu..tuyisenge tunao wengi tu hapa Tanzania..ni suala la kuwatafuta na kuwatrain vizuri tu..
Uwanja naukodisha kwa Simba SC Limited kwa miaka 200 na zaidi huko...kila gate collection ningetaka robo tu ya mapato ..
Hapo kwanza angeisaidi timu,,kuwa na kitega uchumi chake..suala la kungoja aombwe pesa hakuna..kiingilio kingekuwa cha chini sana ili watu wajae pesa ipatikane..faida ingetumika kwenye mengine ya kimsingi...
Tofauti na yeye Hiyo pesa itakuwa inatoka tuu bila return ya aina yeyote kubwa..ok anasema ataweka kwenye treasurer bond za Serikali,,hii hadi ije iive atakuwa anatoa pesa tu mfukoni...
Then yeye anatarget mafanikio ya muda mfupi badala ya muda mrefu..
mimi ningewekeza kwanza..maana uwekezaji huo ambao nimesema hapo juu..hata ikatokea anauza hisa zake..hakosi bilioi 25- 30..ndani ya miaka mitano ijayo..