Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Haahaha Maji nusu lita na karanģa kibakuli aisee Mo kashtuka pesa yake inaliwa na wachumia tumbo
tapatalk_1557763220174.jpg
 
Robo sio hatua nzuri??... Hao Horoya wamefika fainali?.. Kweli we chura
Mashabiki wa soka nchini hawajawahi kuwa na msaada hata siku moja zaidi ya unafiki na ushirikina..yesi..msaada wao ni huo pamoja na kuzomea wachezaji uwanjani...au kuwatukana...
hatujawahi kwa namna yeyote ile kuzisaidia klabu zetu kuondokana na hali ilizokuwa nazo...na ndio maana kuna siku nikasema hata huyu Mo Dewji naye ni wale wale..tu..tutaishia kushinda shinda mechi hivi hivi kwa hila hila lakini hatawekeza kwenye msingi wa soka..
yeye kama ulivyo wewe na mimi tunapenda timu ishinde tuu..basi,,timu ikishinda tunarukaruka tuanenda kulala..siku zinapoita..hakuna cha uwanja wa bunju wa sijui ngekewa gani...
Yule atafanya kulingana na mashabiki wanzavyotaka au kuhisi ..atasajili wachezaji wa Yanga..Azam..na timu zingine hapa Afrika Mashariki tena kwa free transfer ... sio kununua...
akishakizi kiui yetu hiyo na yeye kama ilivyo sisi atakaa asubiri miujiza ya uwanjani.
 
Hata kama ya MO ndugu,,kwa namna ya mpira wa TZ ulivyo hiyo B.20 inaweza kuisha bila faida yeyote ile..
Hujui maana ya uwekezaji ndio maana unasema itaisha

B 20 inatakiwa izalishe club itakuwa inatumia faida yake

Wanachama wakianza kununua his a zao na zikikamilika ile B 25 nayo inatakiwa izalishe itakachotumia club ni faida yake

Mfano B 20 kwa mwaka itazalisha faida ya B 3.5

B 25 itakuja kuzalisha faida kwa mwaka B 5.5

So club itakuwa na uhakika wa faida inayotokana na hisa kila mwaka ya Billions 9
 
Wakwanza zana, nikimuona kwenye kikosi hamu inaisha ya kuchek gemu...GYAN bado mzuri sema nafas anayopewa inammbana
 
Professionals wabaki Chama, Kagere, Okwi, Niyonzima na Gyan. Ila Wawa, Juuko, Zana, Kotei na Kwasi waondoke. Tulete professionals watano tu, Striker 1 aliyewazidi kiwango akina Kagere lakini siyo Tuyisenge wala Chirwa, defensive midfielder moja mrefu aliyemzidi kiwango Mkude, center backs wawili full back right moja kusaidiana na Kapombe. Gyan asogezwe mbele. Locals wapunguzwe Dida, Bukaba, Mbonde, Mo Ibra. Mkopo atolewe Salamba. Locals wapya Ajib, Gadiel, Kabunda, Kakolanya na Maembe. Mkopo kurejeshwa Marcel Kaheza. Gadiel agombee namba na Shabalala, Kakolanya apambane na Manula.
Kotei kitasa kile...achana na hiyo kazi
 
Tunaitaji kupata mabeki, hatar mmoja wa kati, mwingine wa kulia, kiungo mkabaji mmoja, na mshambuliaji mmoja,,,, wawe watu hatari
 
Mimi nachotamani kuona msimu ujao ni wachezaji wapya wente uwezo binafsi na wenye uwezo wa kuamua matokeo... Tunahitaji striker mwenye uwezo wa kutafuta mipira kukaa na mipira na kufunga vilevile.
Beki mwenye roho mbaya beki mwenye kutumia akili nyingi na mwenye uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu (Vichwa)
Tunahitaji kiungo mkabaji na mwenye sipidi mwenye uwezo wa kupandisha timu, mwenye pasi za haraka.
Mfumo wetu uwe wa 3:4:3 au 4:3:3
Unaonaje ukiomba kazi ya kuwa unafundisha mifumo.hapo
 
Simba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Waaambie hao uliowataja waanze kudaka nao kama wanaweza
 
Usajili ujao utahusisha sana wachezaji kutoka nnje, ndio maana nasema kama kuna wazawa watabaki, inabidi wapambane kwelikweli

Simba tutahitaji beki namba tatu kutoka nnje mkali

Tutahitaji mabeki wawili wa kati kutoka nnje wakali

Tutahitaji mawinga wawili wakali kutoka nnje

Tutahitaji pia mshambuliaji mmoja mkali kutoka nnje

Hii ni kama tunalitaka kweli kombe la ligi ya mabingwa Africa
Alafu viungo sibaki zile zile redio za mitumba?
 
Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Wawa abaki juko aondoke itakuwa umeanza bangi ukubwani
 
Back
Top Bottom