Wana Simba SC, piga kura kama unataka timu ichukuliwe na Mo Dewji au la

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,375
29,732
Habari zenu!
Kumekuwa na minong'ono mingi kutoka kwa wana msimbazi kutoridhishwa na uongozi wa Aveva.
Ingawa katiba imewaweka viongozi wa sasa na watatoka kikatiba, kumekuwa na wengi wakisema Mo Dewji achukue timu! JE WAUNGA MKONO AU LA HOJA HII??

Andika NDIO au HAPANA kwa ajili ya kupata tu mtazamo wa wana simba tulio humu jf.
 
Ndio
 
Timu ikiendeshwa kama kampuni hata mm ntawekeza niwe na vihisa vyangu!! Lkn c sasa hata nikitoa elfu tano yangu kuangalia game ya simba inaniuma coz najua wajanja wanaenda kuipiga!!!

Kwa mfano mpaka now uongoz wa sasa haujatoa statement yoyote kuhusu malipo waliopata kutoka etoille du sahel na za samata TP mazembe!!!

At the end utasikia longolongo ....washazipiga!!!
 
Habari zenu!
Kumekuwa na minong'ono mingi kutoka kwa wana msimbazi kutoridhishwa na uongozi wa Aveva.
Ingawa katiba imewaweka viongozi wa sasa na watatoka kikatiba, kumekuwa na wengi wakisema Mo Dewji achukue timu! JE WAUNGA MKONO AU LA HOJA HII??

Andika NDIO au HAPANA kwa ajili ya kupata tu mtazamo wa wana simba tulio humu jf.
Of Coz hisa ndo mpango mzima lkn hapo ndo tunaona kuboronga kwa timu chanzo ni nini maana hata ligi haijaisha mshaanza kutaka kumrithisha MO.
 
Simba timu ya upinzani hawezi kuuziwa uyo kada wa ccm mbunge mstaafu.
 
Back
Top Bottom