Wana Simba msiingie kwenye huu mtego wa wachambuzi wa mchongo

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,271
3,925
Nimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
 
Hizo ni dalili za ukichaa na kushindwa
Kila kitu wachambuzi, wachambuzi

Wana uhusiano gani na simba kushinda au kusbindwa?
 
Nimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
Waachane na utaratibu huu, waendelee na ile ya kupuliza madawa kwenye vyumba.
 
Wataje kwa majina hao wachambuzi kama kweli unafanya HIP HOP
Nimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
HIP HOP NI MAISHA
 
Simba wa mchongo ni timu ya mchongo
274806316_3120380921564310_8510181759731295280_n.jpg
 
Huyo shaffi anachambua nini!!
Jamaa ana akili sana na anajuwa akiongeacho, sijapata msikia mtu yeyote anayejuwa kuchambua mpira ama kuandika habari murua za mpira hapa Tanzania. Waliobaki ni kama vile wanaigana, huyu akisema hivi basi na mwenzake baadaye ama kesho yake anakuja sema yale yale, kwa bongo hii HAKUNA zaidi ya Shafii Dauda. Kila mtangazaji ama mchambuzi anajifanya katuni kama Steve Nyerere.
 
Hayo ni MAPENZI yako na hayawezi kuwa uhalisia!!
 
Back
Top Bottom