wana siasa wameshindwa kuungana na wasomi wametusaliti, wanaharakati tusaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana siasa wameshindwa kuungana na wasomi wametusaliti, wanaharakati tusaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tunalazimika, Dec 29, 2010.

 1. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa kuwa wanasiasa wameshindwa kutuunganisha watz na badala yake kugombania masilah na publicity na kwa kuwa wasomi (watendaji wakuu ndan na nje ya serikali) wamekubali kutusaliti sisi ndugu zao na kuamua kukaa kimya wasipoteze ulaji wao_kundi pekee ambalo linaweza kutuongoza watz na kuaminika mbele ya watz wote na jumuiya ya kimataifa ni Wanaharakati (Activists), watz tunameng ya kudai lkn kwsbb makundi mengine yamepoteza muelekeo ndo maana sasa akina Werema wanatokeza hadharan kusema Katiba ni kitu kidogo, mjadala wa Dowans umefungwa na 185b lazima zilipwe kwa Rostam na mengine meng ya kejel kama ya Hosea na Chenge, mama Kombana wengineo_Wanaharakati tuunganishen tuingie barabaran
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwanza mwanaharakati ni nani?
   
Loading...