Wana Njenje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Njenje

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nyati, Jul 9, 2009.

 1. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Wakuu samahani naulizia mawasiliano na wananjenje nina issue nataka kujadiliana nao. Kama kuna mtu anafahamu simu ya kiongozi wao ama mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo basi naomba anisaidie. Vile vile kama unafahamu wanapopatikana hapa Dar Es Salaam utakuwa msaada pia ukinijulisha.

  Natanguliza shukrani,

  Nyati
   
 2. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  071-378-7878
   
Loading...