Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Inategemea na mahusiano husika Kama maelewano yapo vizuri Hakuna haha ya ratiba nikupeana tu kila mnapohitaji
 
unakula saa unayotaka yan ata ukipata hisia jikoni unapakua iyo ndo raha yenyewe
 
Pale anaponichokoza namchapa tu..muda wowote......tena bila huruma,,nani kakwambiya mapenzi yana ratiba ?
 
Baada ya kumaliza kusoma huu uzi, nikagundua yafuatayo kutoka kwa baba Bhoke.
1- Baba Bhoke hafanyi maandalizi kwa mkewe wakati wa tendo la ndoa, hivyo mama Bhoke anaamua kumpa mumewake hata kama hana utayari.
Hali hii imemfanya mama Bhoke asifurahie tendo la ndoa na kiuhalisi, mama Bhoke amekua akibakwa na Baba Bhoke.
2- Baba Bhoke hajatenga muda wa kumrairai/kumpetipeti mama Bhoke na badalayake baba Bhoke anadhani anamtosheleza mkewake kwasababu anamtimizia kila anacho kihitaji.
3- Mama Bhoke hapati muda wa kusikilizwa na Baba Bhoke, na hii humfanya mama Bhoke ajione kama chombo tu cha kutumika kingono na mumewe hata kama pengine anamahitaji yake ya msingi kama mke.
Ulisomaga HKL? maana unachambua vipengele vya fani na maudhui fika!
 
Inategemea na jins mnavyoishi ktk ndoa yenu,kuna ndoa zimeshapoteza uhai japo wanandoa wapo pamoja kulea watoto lkn kwa ndoa yenye uhai na watu wanahitajiana kila mmoja yupo kwa ajili ya mwenza ni dhahiri kila stim zikipanda wanaliamsha.
Ndoa ikiwa na afya tamu sana maana kabla hujarudi hm wife kashakuamsha mizuka na ukifika unakuta kajipanda ananukia na kigauni cha uchokoz ama kanga moja lzm mpige mechi..afya ya ndoa ndo muamuzi Mara ngp mtagegedana
 
Maandiko yaliposema Adam na Hawa sio na Huyu hayakukosea.. Sasa mama bhoke yamemshinda, akubali kusaidiwa, peke yake hawezi himili mikiki mikiki ya baba bhoke...
Hata kama ni mara 100000 provided hakuna anayelalamika, kazi acha ifanywe...
Hongera baba bhoke
 
uzi huu maalum kwa wana ndoa au watu wanaoishi na wenzao ,nmekuja kuuliza maana leo katika pita pita zangu mtaani nipo sehemu nikaona mdada ana lalamika kuwa kachoka na baba boke maana baba boke kila siku anataka ana mshauri wapange kuwa kwa wiki iwe hata mala moja aliposema mala moja mwenzake akastuka akasema wafanye hata mala mbili ,mwenzao mwingine akasema wafanye mala tatu ,mpaka naondoka eneo la tukio nikaacha mjadala nikasema ngoja niulize wadau eti ili ionekane unamtendea haki mwenzio kwa wiki inaitajika mala ngapi
Tatizo la wasichana wengi huwa wanafikiri sex inazeesha haraka kama wanavyofikiria kuwa kunyonyesha sana na kwa kipindi chote kinachotakiwa kuwa ni kuharibu matiti na hayatakuwa tena na mvuto. sasa iko hivi kwanini umeoa kuna sababu nyingi ofcourse sio kwa ajili ya ku sex ila sex ni sehem ya ku enjoy na mkeo. tachane na historia ya mababu maana niliwahi kwenda kwa babu nikamuuliza anambie ni marangapi natakiwa ni sex na mkewangu alichonambia siwezi kuandika hapa ila twende na la kileo, ni kwamba hamu huja kutokana na sababu nyingi na huwa inatoweka kutokana na sababu zingine nyingi tu. ukiwa na mke hakikisha unamuepusha yeye kupoteza hamu ya kuwa na wewe muda anaotaka au muda unao mhitaji hakikisha kila siku anafuraha moyoni mwake na huondoki kwenye mawazo yake, mbebe vizuri au mlee vizuri swala la kuchoka huwa halipo, kuna kina dada wanawalisha waume zao vyakula au wanawapikia mitindo maalum ili kuwachemsha waume zao wapate genye wa sex. wanaume wengine wanapenda sana kumendea supu ya pweza ilihali apate hamu ya sex jioni bila ya kuzingatia uhusiano wa yeye na mkewe na je mkewe afya yake vipi itaruhusu kukuachia kula tunda na akafurahi......tuendelee Loading......
 
Ukiawa na speed kubwa zaidi ya mkeo na ukisikia mkeo analalamika kuwa unataka kila siku ebu punguza kula unachokula na kukufana usimamishe kila siku na kutaka na si kila siku ukisimamisha ndio lazima utumbukize ndani ukojoe hapana wakati mwingine puuzia maana ni hali ya kawaida huwa inatokea. mwanamke analalamika kuchoka kwakuwa yeye anashinda ana fanya kazi nyingi anachoka halafu usiku unakuja kumdandia bila ya kumuandaa vizuri hadi asikie uchovu umetoweka, naamini mwanamke hata kama amechoka ila akiwa kwenye mood na unambeba na kumbembeleza hanaga shida huwa anafungua mapaja hata kama huaomba mwenyewe hujiachia...... tutaendelea....Loading.....
 
epuka kumfokea mkeo, epuka kumkwaza, msikilize kila anapotaka kuzungumza na ww, akiwa na shida yake mpe matumaini ya kweli kuwa utatafuta na utampa kama huna kama unayo mpe usimgombeze usimseme mbele ya watoto au majirani au marafiki zako, hakikisha ukimkosea muombe msamaha huwa anajisikia fahari sana kuombwa msamaha na wanafurahi sanaaaa tena sana hapo ukimuomba msamaha na kakubali ukimvuta humbani umpe kimoja ataondoka kwa urahisi na atakupa bila shaka kwa hiyo haitahesabiwa kuwa ni kila siku anakupa inakuwa ni muda wowote ikitokea yuko free anavua nguo maana wewe ni star wake anakuona kama kipenzi ambacho hayuko tayari kukupoteza......TUmalizie hapa..... sina mke ila nelewa hivyo tu :p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
 
Wapo jamani...
Wana miaka kwenye ndoa wanapiga mzigo mwezi mzima hata kwenye mp ,na hawachokani...
Kila mmoja anamtamani mwenzie kama wamekutana Jana tu, hawakaliani mbali ....nadhani wamematch kuwa kila mtu ni mwenza wa maisha na mtu wa ndoto ya mwenzake!
Nawaombea Mungu asitokee mdudu ' nnya ' yeyote kuwaharibia!
 
Inategemea na hamu. Hata kila siku kama hamu ipo kwanini mjibane? Ratiba sio nzuri
 
Back
Top Bottom