Wana MMU nisaidieni kweli ni kosa langu??

Sembeta jr

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
805
366
Tumejuana na mdada huku mtandaoni, tukapeana namba tukawa tunawasiliana na kutaniana sana kwa kipindi cha miezi mitatu bila kuonana, sasa tukapanga kuonana huku kila mmoja akiwa na furaha na mawazo ya kufall in love at first sight, kwakuwa ye anatoka makongo juu na mi kawe tukaona tukutane mweenge ndo tupange kwa kwenda kubarizi, mi nadrive nikafika wakwanza yeye akaja dk10 badae nikamwelekeza nilipo paki gari.....nikaona wadada wawili m1 mrembo sana mashaalah na mwingine wa kawaida sana tu wanakuja nilipo na kuniuliza we ndo transporter nikajibu ndio mimi yule wakaida akajibu na mimi ndo xxx.!! Wakati wote huo wa utambulisho mi nimeduwaa na nimedata na urembo na uzuri wa mwenzie huku nikiwaza kimoyomoyo kwanini huyu mrembo asingekua xxx...bari tukatoka tukala kunywa nk...nilhakikisha napata namba ya yule mrembo mpaka sasa tunawasiliana lakini huyu xxx kumbe kafa kaoza kwangu afu mi cna hata hisia za kufosi kwake nikaona nimchane live kwamba mi nampenda rafki yake ye tubaki kama best friends tu..hapo ndo balaa lilipoanzia kwani yeye na rafiki yake hakuliki hakulaliki ni ugomvi kwenda mbele yani anavma kwangu meseji kila siku za vitisho mara ooh huyo rafiki yangu anangoma mara hil...hivi nilikutuma uje na huyo rafiki yako? Hivi mi kosa langu nini?? Najua upo hapa na utaisoma hii post...its not my fault that i codnt love you, its also not my fault that i chose your friend.
Ni hivi you cant force me to fall in love with you and i dont wanna play with your feelings...Love can not be done nor can it forced to anyone.....it just happens and flows just like you love me and i love ur friend.
Huenda usingekuja na rafiki yako kulikua na chance ya kukupenda wewe...na hii iwe somo kwa wadada wengine kwamba mtoko,date mwaliko wa kwako unabeba na wenzio wa nini???So nimeamua na huyo rafiki yako kuachana naye and i hope na wewe utaacha kunisumbua,
I still take you as my bestfriend and i hope u,ll do the same, na nampango wa kutafuta mchuchu mwingine so ukae na amani
 
We unaugua ugonjwa wa ubaguzi na umechanganyika na wehu wa kimapenzi vuta picha ungekuwa wewe ungejisikiaje sasa?
 
Matatizo mengine ya kujitakia!!!!!!!!!!!!1 We utaendaje ki blind date na mwenzio afu mkali zaidi yako?????????????

Kwanza ni uswahili mtupu wewe umepewa ofa peke yako, sasa kisa cha kuja na umati? Unajuaje kama huyo invisible man ana hela au majanga?????????

Na wewe Cassanova punguza spidi! Utakula Vibudu kwa uvivu wa kuwinda!
 
baby don't go.............i waited for so loooong .Duh huu wimbo umburudishe mleta thread unataka kumwaga ugali na mboga at the same time:A S-fire1:
 
Transporter
umechat na mtu kwa miezi mitatu bila kukutana, that's really good!
Siku imefika muonane, it's your first date manake hamfahamiani zaidi ya mtandaoni.
Swali, kwa nini umruhusu aje na rafiki yake il hali hata yeye humfaham?
Jibu, ni kosa lako!
 
Last edited by a moderator:
madent hao ndo wanaenda group as if wanaenda group discussion
Matatizo mengine ya kujitakia!!!!!!!!!!!!1 We utaendaje ki blind date na mwenzio afu mkali zaidi yako?????????????

Kwanza ni uswahili mtupu wewe umepewa ofa peke yako, sasa kisa cha kuja na umati? Unajuaje kama huyo invisible man ana hela au majanga?????????

Na wewe Cassanova punguza spidi! Utakula Vibudu kwa uvivu wa kuwinda!
 
Too old for this?
Did you have to tell her kwamba unataka kutoka na rafiki yake? Some truths might render you in prison!

Ni kwamba hatukuwa wapenzi kabisa ni urafiki tu tena nyuma ya keyboard....sasa mi nimekosea wapi??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom