Wana MMU Michango yenu jamani nataka kuoa.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,820
11,521
Baada ya maisha yaliyojaa purukushani,kasheshe na hekaheka ya uanaume hatimaye nimekituliza kwa mtoto wa kinyalu tunayetegemea kufunga nae ndoa hapo mapema mwakani nikiwa kama mwana MMU ninayechipukia baada ya kukimbia kule siasani naombeni michango yenu ya hali na mali ili kufanikisha shughuli hii, suala ninalojiuliza je, nitaweza kujituliza ili nisipende tena na njia gani nitumie maana sitaki kumsaliti my wife baada ya kumuoa maana nimemuumiza sana hivyo nataka apate pumziko la moyo toka kwangu.
 
Jambo moja tu la msingi Usiwe na wivu sana, utakuja uue watu alafu ujiue mwenyewe, usiku mwema
 
baada ya maisha yaliyojaa purukushani,kasheshe na hekaheka ya uanaume hatimaye nimekituliza kwa mtoto wa kinyalu tunayetegemea kufunga nae ndoa hapo mapema mwakani nikiwa kama mwana mmu ninayechipukia baada ya kukimbia kule siasani naombeni michango yenu ya hali na mali ili kufanikisha shughuli hii, suala ninalojiuliza je, nitaweza kujituliza ili nisipende tena na njia gani nitumie maana sitaki kumsaliti my wife baada ya kumuoa maana nimemuumiza sana hivyo nataka apate pumziko la moyo toka kwangu.

yani wewe pengine unaumwa.
Hivi wewe ujui kuwa kwanini ume amua kuoa?au kwanini watu wana oa?yani unatuuliza sisi kama utaweza kutulia?sisi ndio tunaoa?

Nakushauri uhairishe kwanza hili swala alafu uanze upya kufikiri.

Haya maswali si yamtu ambaye anahitaji na yuko tayari kuoa.
 
yani wewe pengine unaumwa.
Hivi wewe ujui kuwa kwanini ume amua kuoa?au kwanini watu wana oa?yani unatuuliza sisi kama utaweza kutulia?sisi ndio tunaoa?

Nakushauri uhairishe kwanza hili swala alafu uanze upya kufikiri.

Haya maswali si yamtu ambaye anahitaji na yuko tayari kuoa.

Mkuu naona una hangover za weekend wapi nimeuliza kwanini nataka kuoa rudia kusoma tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom