wana MMU em twendeni SIASANI leo...kunanukia..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,138
22,709
Pinda anataka porwa Unga....twende kule leo.. Lolz..
 
haswaa data, leo huku hamna issue, habari iko siasani bana
 
Last edited by a moderator:
Kule kuna wenyewe


Vibaraka/kada wa CCM na CDM, waliopandikizwa


Mie Nipo humu kula raha bando najinunulia mwenyewe hao mpaka wanunuliwe na vyama vyao!!

Starehe gharama!
 
Nilikua huko siasani mmmh kuna mengi ila tuwe waangalifu tusipigwe ban manake kule ban iko nje nje
 
UPEPO umeshapita ,...business as usual,.
Turejee MAPENZINI,, samahani kwa usumbufu.

Pinda kapona

yule mzee mkavu kama dagaa kauzu, kaleta blah blah tu mi nilizane nayeye angedo the needful. btw hao wanne wanatosha kupeleka message kwa mawaziri wengine mizigo.
 
Back
Top Bottom