wana-MINAKI 1998-2004 tukumbushane habari ya fangasi na majirani zetu PUGU.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana-MINAKI 1998-2004 tukumbushane habari ya fangasi na majirani zetu PUGU..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Jan 27, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kulikua kuna usemi maarufu.."kukanda ngano" maana yake utakuta mtu muda wote mkono upo katika nyeti zake, anajikuna,duuh!!fangasi wanawasha jaman...
  hatimaye unapata kitu kinaitwa PU*BU erosion!!yale maji nomaaa!!
  fangasi hawataki uvae gagulo, fangasi wanataka ukilala ulale utupuu...
  walinitesa jaman
   
Loading...