Wana Mbeya wameonesha upendo na imani kubwa Sana kwa Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,071
9,472
Kwa mapokezi aliyopata mh Rais yameonesha namna Wana Mbeya walivyo na Imani na uongozi wake, utumishi wa kutukuka wa mh Rais umewakonga nyoyo wananchi wengi Sana, Sasa wanambeya wanamuona mama Kama kiongozi na Rais wao wakujivunia, maana mh Rais amekuwa msikivu na mwenye kujari Sana watu kwa kufanya Mambo na vitu vinavyo wagusa moja kwa moja.

Utekelezaji wa miradi mingi ya maendeleo mkoani Mbeya unawapa matumaini wananchi kwenye nchi ya asali na maziwa kwa kutumia rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi Mungu, Sasa wanambeya wapo bize na kazi kumuunga mkono mama.

Sasa wanambeya wanajiona wanayo Nafasi ya kuijenga nchi yao, wanaoona Sasa hawaachwi nyuma Wala kusahaulika katika keki ya Taifa, Asante mh Rais kwa hotuba yako nzuri katika kilele Cha maonyesho ya Nane Nane, kazi iendeleeee
 
Watu wakikushangilia kuna mawili.

1. Wamefurahia uwepo wako na unachozungumza.

2. Unawakera wanatamani uwahi kumaliza uondoke
 
Wana Mbeya wamefurahi Sanaa kumuona Mh Rais hasa kuona namna anavyo pambana kupunguza kero na matatizo yanayowasibu, hapa awali wanambeya walikuwaga wanahisi Kama wametengwa lakini kwa namna miradi ya maendeleo inavyofanyika imerudisha Imani kwa wanambeya kwa serikali na kwa Rais ,Hata ujio wa mh Tulia nao umeleta ushawishii maana amekuwa na ushawishii kwa serikali katika kuijenga Mbeya iliyo Bora na imara kiuchumi, Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu kwa kazi kubwa aifanyayo katika kuleta maendeleo
 
Kwa mapokezi aliyopata mh Rais yameonesha namna Wana Mbeya walivyo na Imani na uongozi wake, utumishi wa kutukuka wa mh Rais umewakonga nyoyo wananchi wengi Sana, Sasa wanambeya wanamuona mama Kama kiongozi na Rais wao wakujivunia, maana mh Rais amekuwa msikivu na mwenye kujari Sana watu kwa kufanya Mambo na vitu vinavyo wagusa moja kwa moja.

Utekelezaji wa miradi mingi ya maendeleo mkoani Mbeya unawapa matumaini wananchi kwenye nchi ya asali na maziwa kwa kutumia rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi Mungu, Sasa wanambeya wapo bize na kazi kumuunga mkono mama.

Sasa wanambeya wanajiona wanayo Nafasi ya kuijenga nchi yao, wanaoona Sasa hawaachwi nyuma Wala kusahaulika katika keki ya Taifa, Asante mh Rais kwa hotuba yako nzuri katika kilele Cha maonyesho ya Nane Nane, kazi iendeleeee
Nadhani toka kaanza ziara zake,Mbeya,Kagera na Tabora wamempokea Rais vizuri sana na yeye amefurahi.
 
Back
Top Bottom