Wana Mbeya, sikilizeni msiwe wabishi!

Huyu lecture wangu kawa mpuuzi dadeki, mbeya ilishatengwa kitambo sana na bado inapambana na kuwapa mapato, kiufupi mbeya inaweza kuwa nchi nyingine ikijitenga na tz, asipojiangalia atasababisha vurugu za kipuuzi kama zile za Late Kandoro.
Za Kandoro zitakuwa cha mtoto nakwambia maana kipindi kile viliungua vituo vya polisi viwili safari hii aweza kuyaona makubwa watu wanajua upumbavu ufanyikao.
Tena huyu jamaa juzi kaandika gazetini mwananchi eti ccm wamsamehe kwa kutokumtangaza mgombea wa cdm na kumtangaza wa ccm aliyeangushwa. Alijiona mbabe kwa tangazo lake.

Ipo siku atafuata nyayo za wenzake waliomtangulia. Huwezi kushindwa kutusaidia wanambeya halafu ukawa mstari wa mbele kutuumiza.
 
Za Kandoro zitakuwa cha mtoto nakwambia maana kipindi kile viliungua vituo vya polisi viwili safari hii aweza kuyaona makubwa watu wanajua upumbavu ufanyikao.
Tena huyu jamaa juzi kaandika gazetini mwananchi eti ccm wamsamehe kwa kutokumtangaza mgombea wa ccm na kumtangaza wa ccm aliyeangushwa. Alijiona mbabe kwa tangazo lake.

Ipo siku atafuata nyayo za wenzake waliomtangulia. Huwezi kushindwa kutusaidia wanambeya halafu ukawa mstari wa mbele kutuumiza.
Atatulia tu hakuna mtu wa kuisumbua mbeya we ngoja aone moto wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom