Wana mageuzi wakweli tupo imara na tunasonga haturudi nyuma

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
3,951
5,423
Ndugu wanajamii nimepita huku na huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii maneno na maswali ni mengi juu yakuondoka kwenye chama ndugu lowassa mimi naamini ktk sera itikadi pamoja na mapenzi kwa chama huwa napenda kuwaambia wale bendera fata upepo kwamba chama sio mtu chama sio mbowe leo ikitokea mbowe kafaliki [hatuombei] wewe bendera fata upepo utasimama wapi tusimame imala Kama kweli hatulizishwi na huu uonevu tumeopoteza Makamanda wetu Kama mawazo beny saa8 kina lissu wamemwaga Dam mchana kweupe haya yawe chachu yakutowafata hawa wasaka vyeo nihayo
 
We ni janga, wenye chama na wajumbe kamati kuu washachoka na wamekimbia eti ww uko huko kwenu sintimbi unasema upo imara huku hata uhakika wa kula kesho huna!Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanajamii nimepita huku na huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii maneno na maswali ni mengi juu yakuondoka kwenye chama ndugu lowassa mimi naamini ktk sera itikadi pamoja na mapenzi kwa chama huwa napenda kuwaambia wale bendera fata upepo kwamba chama sio mtu chama sio mbowe leo ikitokea mbowe kafaliki [hatuombei] wewe bendera fata upepo utasimama wapi tusimame imala Kama kweli hatulizishwi na huu uonevu tumeopoteza Makamanda wetu Kama mawazo beny saa8 kina lissu wamemwaga Dam mchana kweupe haya yawe chachu yakutowafata hawa wasaka vyeo nihayo
Hujapata tu nafasi ndugu utasahu hata huo upinzani wako

Katika wakati Bora ambao wapinzani wanapaswa kujiweka sawa na kuwa imara Tena ni Sasa. Kwasasa ni vigumu kuonja heri kwakuwa mpinzani lkn hakuna wakati ambao wapinzani wa kweli wanatakiwa Kama Sasa. Lisu ni maarufu na Bora Sana kulinganisha Jiwe na El combined ikiwepo tume ya uchaguzi ya kweli hawawezi kimshinda hata kwa nini. Upinzani kwa Sasa watulie na wasibadili mwenyekiti Wala katibu
 
Ndugu wanajamii nimepita huku na huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii maneno na maswali ni mengi juu yakuondoka kwenye chama ndugu lowassa mimi naamini ktk sera itikadi pamoja na mapenzi kwa chama huwa napenda kuwaambia wale bendera fata upepo kwamba chama sio mtu chama sio mbowe leo ikitokea mbowe kafaliki [hatuombei] wewe bendera fata upepo utasimama wapi tusimame imala Kama kweli hatulizishwi na huu uonevu tumeopoteza Makamanda wetu Kama mawazo beny saa8 kina lissu wamemwaga Dam mchana kweupe haya yawe chachu yakutowafata hawa wasaka vyeo nihayo
Mageuzi yaletwe na Mbowe ambaye ndiyo programs manager wenu??? Hapo kaka ni ndoto za Abunuasi...

Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off! - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom