Elections 2010 Wana Ludewa wanahitaji kumchagua mbunge

fredqbcc

Member
Dec 8, 2010
8
0
Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi uliyofungua mahakama kuu kanda ya Iringa.

Ulinyimwa fomu katika Mazingira ya kutatanisha naomba Wanaludewa na wapenda Haki wote Duniani Tumchangie Ndugu Manfred katika Kesi ya kuwarudishia haki ya kikatiba Wanaludewa.

Mwanaharakati na Mtu aogopaye kumnyang'anya mnyonge haki yake
 
Who is this Mtitu by the way?? Ni yule tapeli tapeli nyuma kuleeeeeeeee miaka ya 90' au ni mtu mwingine?? Si huyu alifanya kazi Bank nadhani NBC enzi ziiiiiiileeeeeeee?? Samahani kama sio yeye.
 
Anauzaa pirate dvd movie.....hafaiiii....huyuuu anafanya biashara kuuza kazi watu isivyo halali!!!
 
Jamani wanaludewa tuamke. hivi kweli tunaendelea kuipenda hii CCM kwa lipi?
hospitali ya wilaya haina hata AMO mmoja! barabara hazipitiki wakati huu wa masika ukichanganya. Sasa huyo mtu anayejiita mbunge bila KUCHAGULIWA si atatekeleza maslahi ya Bwanake JK?
Mna taarifa kuwa Kiwanda cha kusafisha chuma ghafi kitajengwa BAGAMOYO? huku Ludewa Mtabaki na mashimo tu! WANALUDEWA AMKENI!
 
Kwani huyo mbunge wako unajua alipoapta Vijisenti vyake ? alikuwa Mwandishi wa Mahita je kipato cha kazi ya uandishi kinaendana na hali yake ya kifedha?
 
Katika kila jambo kuna wavurugaji ambao ni sawa na viwavi jeshi. Mtu anadai haki ya kunyimwa haki yake ya kugombea then mtu mwingine hata bila kumfahamu mdai anaandika huyo ni pirate kwa kuuza dvd! Nadhani Jf imevamiwa na mbumbu na wavivu wa kufikiri. Ushauri wangu ni kwamba siyo kila thread memba anapaswa achangie na unaweza kuficha incompetence kwa kuwa msomaji wa yale yanayoandikwa.
 
Inaeleweka jinsi ambavo CCM imewatelekeza wanaLudewa na kuwapumbaza kuichagua wakati wote wakati haina lolote. Kwanza, Uchumi wetu umedidimia kila kukicha wakati tunazo raslimali (Chuma cha hali ya juu na Makaa ya mawe etc) vinavyoweza kuitoa Tanzania katika lindi la umaskini kwa karne hiihilo la kwanza Huyo anayejiita mbunge wa kupita bila kupingwa tayari tunamtafutia dawa ili arudi alikotoka kwa amani na sisi tumchague tunaye mtaka Tatu, Mtitu huyo siyo yule Tapeli He is a credible material.
 
Basi tunaomba haki itendeke pale mahakamani Iringa, pepole have to elect not to be given leaders like sweets. ok fine.
 
mlikuwa wapi siku zote ndiyo mnaamka sasa hivi?

Unataka kutuambia nini sasa kumbuka kuwa mwanzilishi halisi wa mapinduzi ya TZ ni Mtikila who comes from Ludewa in 1980s, many other even Dr Slaa have just followed suit ooh poor you! have you just forgetten that ? Come to your senses.
 
Back
Top Bottom