Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

Wadau habari, poleni na majukumu. Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili, Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili. Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika. Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '. Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile.. Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo. Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae. Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10 Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana ' Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri. Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau. Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock. Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada. SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!! SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE. KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI? Nawasilisha..........
 
Ukirudiana nae, bs dah! Nakosa ata jina la kukuita. Ila mapenz bhna ni ya ajabu, unashauriwa vizuriiii apa lkn c ajabu ukaenda kurudisha majeshi.

Mkuu, ilo ni jipu tena ni jipu amblo halifai ata kutumbuliwa, useme litapona ngoz irudi ktk Hali yake. Chukua maamuz sahihi km mwanaume mwelewa na unayejitambua.

Akili nahc kbs inasema huyu sio mwanamke wa kuoa lkn moyo unasema lkn nampenda. Na ata siku moja usije ukasema kuwa nitakuja kumbadilisha ndani ya ndoa, km kwao wamemshindwa utamuweza ww mlokutana ukubwani?

Huyo ni kulubembe, hawez kubdlk kwa kutaka mtu mpk pale atakapotk yeye mwenye, tena ni baada ya majuto. Mkuu, chukua ushauri wa wengi tu bs.

Km untk furaha ya ndoa maishani mwako bs badili aina ya mwanamke lkn km unataka ndoa tu Bila furaha bs muoe huyo bidada. Ila ujue kuwa, utateseka na ndoa yako.
 
Kila siku tunasema kwenye vikao humu ndani Hawa wanawake wenye watoto achaneni nao...ama sivyo hakikisha baba wa mtoto amedanja na Kama amedanja hakikisha unaliona kaburi lake...lakini jitahid hata ufukue Hilo kaburi kujiridhisha aliezikwa Kama ndo muhusika...
Hahahaaa
 
Ukirudiana nae, bs dah! Nakosa ata jina la kukuita. Ila mapenz bhna ni ya ajabu, unashauriwa vizuriiii apa lkn c ajabu ukaenda kurudisha majeshi.

Mkuu, ilo ni jipu tena ni jipu amblo halifai ata kutumbuliwa, useme litapona ngoz irudi ktk Hali yake. Chukua maamuz sahihi km mwanaume mwelewa na unayejitambua.

Akili nahc kbs inasema huyu sio mwanamke wa kuoa lkn moyo unasema lkn nampenda. Na ata siku moja usije ukasema kuwa nitakuja kumbadilisha ndani ya ndoa, km kwao wamemshindwa utamuweza ww mlokutana ukubwani?

Huyo ni kulubembe, hawez kubdlk kwa kutaka mtu mpk pale atakapotk yeye mwenye, tena ni baada ya majuto. Mkuu, chukua ushauri wa wengi tu bs.

Km untk furaha ya ndoa maishani mwako bs badili aina ya mwanamke lkn km unataka ndoa tu Bila furaha bs muoe huyo bidada. Ila ujue kuwa, utateseka na ndoa yako.
Safi Nimekuelewa sana katika hili.. nimeshabwaga mimi siwez rudi, mashauri yenu haya ndo yanayonipa nguvu zaidi.

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
mkuu upo mkoa gani ? hamna mwanamke hapo, wanawake wana mambo mfano, wiki ilopita nliweka status ya mtoto wangu wa wangu, ambae mwanamke nilie kwenya mahusiano anamjua chek alichokoment ilihali anamjua mwanangu "SILEI MTOTO WA KAMBO", yan kanikosea sana, Yan mwanangu ni part ya maisha yangu tayari ila yeye namwona stranger tu na hapa tayari nishamtupa anapiga masimu wala sipokei akizidisha ntampiga pini hawez nipata tena...
 
Wanawake wapuuzi namna hii huwa mnawakwapua wapi?

Ni bora niendelee kula hawa wenye viatu vya manyoya nijue moja!
 
mkuu upo mkoa gani ? hamna mwanamke hapo, wanawake wana mambo mfano, wiki ilopita nliweka status ya mtoto wangu wa wangu, ambae mwanamke nilie kwenya mahusiano anamjua chek alichokoment ilihali anamjua mwanangu "SILEI MTOTO WA KAMBO", yan kanikosea sana, Yan mwanangu ni part ya maisha yangu tayari ila yeye namwona stranger tu na hapa tayari nishamtupa anapiga masimu wala sipokei akizidisha ntampiga pini hawez nipata tena...
Pole Mkuu, Kweli hawa viumbe hawaeleweki.

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nakushukuru kwa kutoa maada hii maana nilikotaka kuelekea ilikuwa kubaya, mimi pia nilitaka kuingia kwenye mahusiano na sigle mother, yeye yupo mwanza na ameajiriwa kwenye hospital binafisi kama nesi mtoa madawa, ananilazimisha kuwa naye kwenye mahusiano na hata huwa ananitumia nauli ili niende huko, mimi nipo mkoa mbali tofauti na alipo, anamtoto mmoja na alizalishwa na jamaa mwenye wake wawili, huyo mwanamke nilikutana naye chuo na ndo mda ambao alisoma akiwa na ujauzito bila kujua ujauzito ulipokaribia kujifungua akafukuzwa chuo,chanzo cha kuwa karibu naye mimi nilimsaidia vipesa kidogo kama rafiki tu coz nilikuwa nasoma ila ninashuguri zinazoniingizia kipato, Daaaaah, nistory ndefu,ila nashukuru kumbe wanakuwaga hivi masingle mother. Asante
 
Usijaribu, niulize mimi, wanakuwaga kama wamesha pagawa, wana harakati nyingi hiv, japo walio wengi wanaishiaga kuuza maandazi tu kwenye sinia sokoni, ushamwonjesha hela, kwa msingi huo uliomwekea tayar kosa, atakaa kwako kwa kwenye mstari huo wa kupewa pesa, mda huu anakutumia ad nauli ili uende ila fahamu kuwa ana invest.

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
Usijaribu, niulize mimi, wanakuwaga kama wamesha pagawa, wana harakati nyingi hiv, japo walio wengi wanaishiaga kuuza maandazi tu kwenye sinia sokoni, ushamwonjesha hela, kwa msingi huo uliomwekea tayar kosa, atakaa kwako kwa kwenye mstari huo wa kupewa pesa, mda huu anakutumia ad nauli ili uende ila fahamu kuwa ana invest.

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
daaah, ukweli moyo wangu ulikuwa kwenye kigugumizi pia me nilimsaidia tu kwa huruma za kuona mtoto hana makosa ya baba na mama, nikawa natoa huduma ndogo ndogo za mtoto coz nilijuwa hana kazi na hana kipato cha kumhudumia mtoto lakini anataka kuchukuwa nafasi hiyo kama kunishukuru kwa mimi kumuoa, ila mimi pia sina hisia kabisa na single mather hata awe mzuri vip,
 
Broooooooo!!!!! mimi sina huruma tena aisee, huruma ilinicost

Back
Top Bottom