Wana JF Watakaokuwa katika mstari wa mbele siku ya maandamano wasaini hapa tuwajue.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Ndugu makomred "wenza katika harakati" Wana JF mtakaokuwa mstari wa mbele siku ya maandamano huhusu muswada wa katiba tujikusanye hapa ili tufahamiane.
 
Mwita25, mimi nitatoa uji kwa wenye njaa siku ya kuandamana. Mia
 
Ndugu makomred "wenza katika harakati" Wana JF mtakaokuwa mstari wa mbele siku ya maandamano huhusu muswada wa katiba tujikusanye hapa ili tufahamiane.

nitakuwepo popote utakapo anzia,wamezoea hawa,hawawezi kutunyima haki yetu kijinga namnahi.hadikieleweke.
 
Hofu yangu ni kwamba wengi wetu tuta andamana humu humu kwenye mitandao lakini sidhani kama wapo watakaothubutu kuingia mtaani.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mimi nitakuwepo wakati wakuacha keyboard zetu na visimu na kuingia road na sio kukaa nakuacha watu wachache waende peke yao binafsi hata tukianza now tena tufanye usiku huu hapa hapa dar na hivi hakuna umeme nina uhakika kikwete tukimpeleka puta wiki hamalizi atakimbia mwenyewe
 
mi siongei kwa maneno kesho mtanikuta ymcm nawasubiri niwaongoze mana naona nyie waoga sn.
 
Mimi nitapeleka CV yangu Red cross kuomba kazi ya kubeba majeruhi wa mabomu na virungu..
Nitawasaidia kwa moyo wangu wote.
 
Mimi nitadaka mabomu ya machozi pamoja na risasi ili zisiwapate wananchi.
 
Back
Top Bottom