Wana jf wanao uwezo wa kuanzisha serikali makini kwa maendeleo ya tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf wanao uwezo wa kuanzisha serikali makini kwa maendeleo ya tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chamajani, Dec 22, 2010.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF, baada ya kufuatilia kwa kina comments, analysis etc kutoka kwa wana Great Thinkers, nimegundua kwamba wana JF ni zaidi ya experts katika njanja zot-(Siasa, Uchumi, Sanaa, Jamii, Utali, Ufamasia, Udaktari, Engineering, Mining experts, yaani ni kila kitu) na ni hazina kubwa kwa Tafa iwapo Taifa linahitaji, istoshe ni wazi kuwa wengi wao si wachumia matumbo yao kiasi kwamba "wanaumwa" na hali ilivyo ya nchi yetu Kwanini isianzishwe Serikali ya JF ambayo itakuwa inatoa mwongozo wa namna ya kuiongoza Tanzania Kimaendeleo ktk njanja zote? Nawaachia wana JF kuanndaa Uchaguzi an the whole system, najua hamtoshindwa ktk hili.
   
Loading...